WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Afrika hakuna watu kama Asia,Amerika na Ulaya.Afrika watu ni wachache sana na mapori ni mengi ambayo watu wanastahili kuishi ila idadi ya watu ni tatizo.Tuseme masikini anapenda ngono kuliko tajiri. Mawazo yake yote ni ngono na sio uchumi. Bara la Afrika masikini wapo wengi sana ndio maana ongezeko la watu ni kubwa.
Ujinga huuWatu wazae sana zaidi na zaidi.
Kila mtoto huja duniani na sahani yake.
Wana visima vya mafuta! Wana viwanda,Wazungu wame invest kule,wana mipango mizuri ya maendeleo!Waarabu hapa hapa Tanzania wanazaana mpaka 40 na baba mmoja ila sio masikini.
Laumuni vichwa vyenu.
Halafu tutailaumu serikali wakati tunaona kabisa kwenye jamii watu wanazaliana Kama simbilisiKwa mwendo huu hakuna Rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote?
Unakuta bodaboda ana watoto 6? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasababu watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!
Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto.
Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
Kwani,mara ya mwisho hatukuambiwa tufyatue watoto tu serikali itatufanyia wepesi?Au kauli ilifutwa?Kwa mwendo huu hakuna Rais atakayeweza kuumaliza umaskini wa nchi hii.
Ili twende sawa nitoe tafsiri ya umaskini kwa mujibu wa IMF:- umaskini ni hali ya kukosa huduma za afya/maji, chakula, elimu na mahala pazuri pa malazi (nyumba bora).
Kwa tafsiri hii, na kwa uzazi holela wa hapa nchini, ni lini kila mtanzania atakuwa na uwezo wa kuwa na nyumba bora, uwezo wa kupata huduma za afya aitakayo kwa bima ama fedha yake, uwezo wa kupata milo 3 bila shida yoyote?
Unakuta bodaboda ana watoto 6? Mama ntilie, machinga na barmaid eti nao wana familia kubwa? Nchi hii tunaenda wapi? Watu waelimishwe kuwa, siyo kila mtu lazima azae. Watoto siyo asset kwamba utakopea mkopo.
Serikali ikijenga shule ama zahanati, miaka 2 tu zimezidiwa na idadi ya watu. Hata madawati yanakuwa tatizo kila mwaka kwasababu watanzania wanafyatua watoto mno. Hakuna kitu kinawezekana bila family planning.
Dkt. Slaa alipokuwa balozi Sweden alisema "Tanzania na Sweden zilikuwa na idadi sawa ya watu mwaka 1961 (milioni 9 kila moja). Hivi sasa Sweden ina watu 15M, wakati Tanzania ina watu 60+M". Hii ni hatari.
Kwa ujinga huu wa kuzaa hovyo umaskini hautatuachia. Watu milioni 60, walipa Kodi 2M !!!
Itungwe sheria, mtu akitaka kuzaa aweke milioni 10M benki kama dhamana ya malezi bora ya mtoto.
Vinginevyo, shika, peleka akafungwe.
Ndio nasema kaka sisi tuzilaumu akili zetu.Wana visima vya mafuta! Wana viwanda,Wazungu wa invest kule,wana mipango mizuri ya maendeleo!
Vipi kwetu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan had muhusishe mashoga ndo roho zenu kwatuuu.Sisi wenye uwezo wacha tuzalishe tu maana mashoga wanaongezeka kwa kasi ya ajabu tukileta uzungu wa kuzaa watoto wawili tumekwisha.
Kwa sababu anasimamisha na mkewe hakukaangia mayai yake chipsi?πBodaboda kua na watoto6 . Kosa lake liko wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi nashangaa, mtu hana kipato cha kueleweka ila chini kulivyo active!! Utasema tumempa tenda ya kuongeza watanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani kuzaa wengi ndio kutakuepusha na ushoga? Hakuna kizazi kitabaki salama kwa kipindi hiki, wameshakuwa exposed
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawaji kuomba lakini hao ndio wanaotukatia madirisha na kutupiga roba
Nina D moja umeniacha π€£π€£Kwa sababu anasimamisha na mkewe hakukaangia mayai yake chipsi?π
D moja inatosha sana.Jitahidi ung'amue jawabu.ππNina D moja umeniacha π€£π€£
Alitelekeza mama mjamzito hospitali akikimbia bili ya tiba/huduma.Huyo boda aliwahi kukuomba pesa ya mboga?