Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Aaah tajiri huna baya. Lady boss.Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri .
Unakuta hata hawakujui . Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume.
Kwanini mnapenda kuita hivo wakuu.?
Sio kila mtu anapenda kusifiwa
Karibu sana mkuu.nakuombeaTajiri, kuna ile plate 4 mbili gas na mbili umeme, zisio na oven zile ninaulizia. Mwisho wa mwezi nikiwa poa naifuata.
Kuna nini Kasi yankuitana tajiri inaongezeka wakati hata hatujuani?Aaah tajiri huna baya. Lady boss.
Mmmh hatudanganyikiKwasababu tunaombeana mema.
Msemo umeanzishwa na chawa, hakuwepo 2015-2021Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri .
Unakuta hata hawakujui . Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume.
Kwanini mnapenda kuita hivo wakuu.?
Sio kila mtu anapenda kusifiwa
Mbona nyie mnaitana shoga na hatuongei.Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri .
Unakuta hata hawakujui . Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume.
Kwanini mnapenda kuita hivo wakuu.?
Sio kila mtu anapenda kusifiwa
Tajiri wakati nasulubika na life?Aaah tajiri huna baya. Lady boss.