Tabia ya watu kuitana 'tajiri'

Tabia ya watu kuitana 'tajiri'

Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu

Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa.
Kwani wewe ni mwanaume?? Na hilo linakukera nini??
Mbona nyie mnaiitana shoga na hakuna shida!!🤔
 
Huenda tajiri ni mtu mwenye viungo vyote, hivyo uweza wa kuchapa kazi anao, kuitwa tajiri ni "utajiri unaokujia ".
 
Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu

Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa.
Tulia tajiriiiiiiiiiiiiiii
 
Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu

Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa.
Mkuu, ni nanmna ya kunogesha maongezi tu. Hata mi naitwa Boss wakati sina ubosi wowote.
 
Back
Top Bottom