Kwani wewe ni mwanaume?? Na hilo linakukera nini??Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa.
Tulia tajiriiiiiiiiiiiiiiiKwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa.
Mkuu, ni nanmna ya kunogesha maongezi tu. Hata mi naitwa Boss wakati sina ubosi wowote.Kwanini watu wengi wanapenda kuita mtu tajiri tajiri. Unakuta hata hawakujui. Kumbe huna hata kitu
Hili swala liko common kwa wanaume. Kwanini mnapenda kuita hivyo, wakuu? Sio kila mtu anapenda kusifiwa.