Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Mkuu unanitia moyo wakati Mimi imefikia hatua nawafokea!Hongera una nyota ya Mother Teresa,unaroho nzuri pia kama sio wewe utatusua basi ur generation watakuwa Royal families.
Endelea kutoa boss hata saninui lazier nasikia alikuwa sio mchoyo MTU wa watu.
KwaniniMkuu gombania ubunge tu kilichobaki
Habari za majukumu wadau wenzangu.
Nimekuwa nikiombwa hela na watu tofautitofauti tangu nikiwa Mdogo kabisa. Nilipokuwa nasoma shule, nikirudi likizo watu huniuliza una buku hapo?
Hadi leo nahangaika na maisha yangu bado mizinga ni mingi. Mfano kuombwa Shililingi 200, 500, 1000, 5000, 10000 na wengine wakizidi hapo watajifanya wanakopa na hawanirudishii.
Kuna watu mtaani na hata ndugu zangu wenye uwezo kuliko mimi lakini siwaoni wakiombwa hela na watu. Nimewahi kuwauliza wakasema hakuna anayethubutu kuwaomba hela.
Hapa Kuna mtu ananisumbua tangu jana anaomba elf tano tu. Mwezi wa pili nilimpa elf 12 bure kabisa. Sasa karudi tena. Hali hii inatokana na nini? Napatwa na wasiwasi.
hahahahaaaUna nyota ya benki ya dunia
#nyotampya
SawasawaUnauliza rangi ya mkaa, jibu rahisi wala usiumize kichwa, wewe ni mtoaji, ndo maana upepo unavumia upande wako. Anza kunyima, wote watakimbia.
Tabia yako ya kuonyesha una pesa hata kama huna.Habari za majukumu wadau wenzangu.
Nimekuwa nikiombwa hela na watu tofautitofauti tangu nikiwa Mdogo kabisa. Nilipokuwa nasoma shule, nikirudi likizo watu huniuliza una buku hapo?
Hadi leo nahangaika na maisha yangu bado mizinga ni mingi. Mfano kuombwa Shililingi 200, 500, 1000, 5000, 10000 na wengine wakizidi hapo watajifanya wanakopa na hawanirudishii.
Kuna watu mtaani na hata ndugu zangu wenye uwezo kuliko mimi lakini siwaoni wakiombwa hela na watu. Nimewahi kuwauliza wakasema hakuna anayethubutu kuwaomba hela.
Hapa Kuna mtu ananisumbua tangu jana anaomba elf tano tu. Mwezi wa pili nilimpa elf 12 bure kabisa. Sasa karudi tena. Hali hii inatokana na nini? Napatwa na wasiwasi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu unanitia moyo wakati Mimi imefikia hatua nawafokea!
Sina hata kidogoUtakuwa na kitambi.
Nina mpango wa kuwa mchoyo sasaHua unatoa ndio maana bado wanakuomba.
Wala sina misifa na shoboTabia yako ya kuonyesha una pesa hata kama huna.
Habari za majukumu wadau wenzangu.
Nimekuwa nikiombwa hela na watu tofautitofauti tangu nikiwa Mdogo kabisa. Nilipokuwa nasoma shule, nikirudi likizo watu huniuliza una buku hapo?
Hadi leo nahangaika na maisha yangu bado mizinga ni mingi. Mfano kuombwa Shililingi 200, 500, 1000, 5000, 10000 na wengine wakizidi hapo watajifanya wanakopa na hawanirudishii.
Kuna watu mtaani na hata ndugu zangu wenye uwezo kuliko mimi lakini siwaoni wakiombwa hela na watu. Nimewahi kuwauliza wakasema hakuna anayethubutu kuwaomba hela.
Hapa Kuna mtu ananisumbua tangu jana anaomba elf tano tu. Mwezi wa pili nilimpa elf 12 bure kabisa. Sasa karudi tena. Hali hii inatokana na nini? Napatwa na wasiwasi.
AiseeUna nyota ya benki ya dunia
#nyotampya
Bora wanichukieWanakuomba hela na wataendelea kukuomba sababu huwa unawapa. Ukiwanyima huenda wakakuchukia.