Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Hii ndio tabia yanguMimi tabia yangu ya Kutopenda Unafiki, Ujinga, Utoto, Upuuzi, Upumbavu, Kujikomba na Kuongopa imenifanya nichukiwe sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio tabia yanguMimi tabia yangu ya Kutopenda Unafiki, Ujinga, Utoto, Upuuzi, Upumbavu, Kujikomba na Kuongopa imenifanya nichukiwe sana
Kama kawaida baada ya kumaliza chuo nikaingia mtaani kusota na maisha bahati nzuri nikapata intern kwenye moja ya taasisi za serikali zinazolipa vizuri.
Changamoto ikawa kumbe kwenye taasisi hizi za serikali inatakiwa ufanye kazi kwa bidii bila kusahau kujipendekeza kwa boss.Kwa jinsi nilivyo tabia yangu ya kutopenda kujipendekeza wala kufitini wafanyakazi wenzagu mm nikawa natimiza Majukumu kama kawaida.
Kumbe ilitakiwa niwe naenda hata kumuona boss personly angalau mara moja kwa wiki kumsalimia tu ambavyo wengine hufanya sasa mm nawaza nikamuone manager nimweleze nini Cha zaidi wakati meeting za Kila wiki tunakutana na kila mtu anawasilisha ripoti yake?.
Basi bwana boss akaanza kulalamika ooh sina msaada kwenye office ikabidi nifuatilie kujua ninakwama wapi bassi wadau wakanitonya jipendekeze nenda hata mara moja peleka umbea wowote ule atakukubali tu.
Asikwambie mtu hakuna kazi ngumu Kama kuwa mmbeya eneo la kazi Kama hauna tabia hiyo.
Mm nikasema potelea mbali ilimradi natimiza Majukumu yangu na nipo qualified siwezi kujipendekeza kwenye ofsi hii nitapata kazi hata kwingine.
Mkataba wa intern ukaisha boss Kama kawaida akaaniambia nitafute kazi sehemu nyingine.
Mwamba nikaona siyo kesi nikaingia mtaani nikapata kazi kampuni nyingine ya kibongo aisee kule ndo ikawa balaa bila kuwa mbeya humalizi mwezi unatimuliwa boss anataka kila siku mpishane na wafanyakazi ili apate taarifa mara huyu kapeleka fulani mwizi kaiba mafuta, kifusi.
Daah nikaona pia isiwe kesi nikaacha kazi.Sasa Nina mwaka nasota mtaani nimezunguka kinoma hamna kazi kila Kona patupu wadau wanashauri tafuta hata viongozi wa kisiasa ujipendekeze kazi siku hizi kujuana mm naona wananisumbua tu.
Natafuta kazi nikiamini qualifications zangu zitanibeba lakini patupu nimeapply sehemu nyingi hata kuitwa hakuna.
Nikatafuta mpaka sehemu za vibarua patupu. Sasa nawaza hii tabia ya kutojipendekeza nitaachaa vipi maana kubadili tabia ni ngumu kama kubadili ngozi.
👍Yani kufanya kazi na waswahili Ni kazi Sana Bora ujiajiri.
Jitu kwenye kikao linaongea pumba kwasababu ana cheo , unaliona libaba lizima kwa pembeni linakenua kwa furaha na meno yamejaa kisamvu yote yako nje. Yani baba zima linafurahia upumbavu kisa anaongea boss.
Mimi hiyo tabia hapana.
Hahahahha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]Nipo mkuu, na hata sijipendekezi Basi
Nimeamua kuwafanya marafiki zangu [emoji28]
😂😂Ny
Safisha nyota tu, yaani badala ya wewe kujipendekeza kwa boss inakua vice-versa boss ndo anajipendekeza kwako.
Ndo Maana unachukiwa
😞They didn't tell you the truth. Utendaji kazi wako uko below average. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakubali kumpoteza mfanyakazi jembe kisa hajipendekezi.
🤔🤔Hata mimi nimeona, kuna tofauti ya kumheshimu boss na kujipendekeza kwa boss, huyu jamaa anazarau either kwa kujiona ana elimu kubwa au sawa na boss wake.
Katika maisha mtu unatakiwa kuwa na heshima na sikujipendekeza kwa msimamizi wako au mkuu wako haijalishi unamzidi elimu au anakuzidi.
😂😂kujipendekeza na kujikomba ni vitu ambacho nimefeli kwa kweli, ila kuwa friendly ni kitu ambacho kiasili nipo hivyo hivyo nimejikuta nina marafiki wengi sababu ya kuwa muwazi, kitu kinachosababisha wengi wanifate na kuniomba ushauri au kunikosoa pale napoyumba.
ila chuki makazini huwa zina sababu nyingi kuna jamaa yangu ye kazi anapiga fresh tu ila maboss wanamchukia kinoma sababu jamaa havungi akiona pisi kali kiasi kwamba kuna muda anapita na usingizi wa maboss zake
Unaharibu uzi Bujibuji
👏👏👏Na hapa tenaView attachment 1524521
Exquisite 👏👏👏Katika maisha au kazi, tofauti na elimu ya darasani ambayo ndio wengi huitumia kama kigezo yatupasa kujua kuna kitu kinaitwa Skill. Kila mtu amepewa kwa kadiri ya karama yake, changamoto huwa ni jinsi ya ku identify. Makazini asilimia kubwa wenye skills zifuatazo huwa ni ngumu kujikomba; Integrity; Communication skills; team working; business acumen (good judgement and quick decision); experience; qualifications; self confidence.
Asilimia kubwa ya wanaojipendekeza wengi wana lack mengi ya hivo, na haya mambo hushamiri sana kwenye ofisi na makampuni ya kibongo. Huwezi kuta huu ujinga wa kujipendekeza kwa wenzetu wazungu maana kwao wanajali sana muda na performance basi. Wao wana deal na wewe mwajiriwa kwa target basi, ukishindwa kudeliver basi off you go pasipo kinyongo.
Na ndiko watu wanapiga mzigo hasa, Ofc za kibongo ukiwa mpambanaji sana na unatimiza wajibu wako tayari unaonekana ni tatizo, hatari kwa watu, basi majungu ni mengi sana.
From experience, kuna tofauti kubwa sana katika utendaji kazi baina ya Ofc za kibongo na wenzetu. Wengi umbeya kwao ni skill ilhali wengine kwao sio
Daah we nomakwenye kujipendekeza kwa kuchongea wengine siwezi ila kusifia mtu nipo vizuri..nakumbuka nipo chuo nilikosa test moja ya DBMS halafu mwaka wa mwisho...Dokta alikuwa anafundisha soma ilo alikuwa mtata sana ana anajulikana sana kwa sifa ya kushika watu..niliendea nikiwa nimejipanga kweli kweli nalianza kwa kumuita dokta nyingi sana na kumsifia sana kwamba sijapata kuona mwalimu kama yeye tangu nizaliwe nikimuuliza kwanini hakuenda havard kwa siyo level ya nchi hii kabisa....mwisho kabisa nilipewa maksi mbili nikiwa na lengo huwa najipendekeza sana mpaka kieleweke
😂😂😂Pumbavu.
Nduguyako likanishuka. Kuendekeza kujuana sana kipaji ujue.Kirangaa komooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama jina lakoo...
😂😂😂Daah we noma
Nduguyako likanishuka. Kuendekeza kujuana sana kipaji ujue.
[/QUO