Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

hii dini ni kweli ni ndugu zetu ila kwa kuchongeana wako vyema, anzia ngazi za familia,ukoo hadi majirani ni uongo uongo tu hadi wanaume sijui wana tatizo gani hawa jamaa.
Dini gani hiyo na ile Iwe ni facts Basi NI wanadini hao wangapi umekutana nao,WAKIWA na background zipi tofauti?elimu zao?vipato vyao?Mahali wanapoishi?race zao?

Otherwise usije ukawa unajiongelea experience yako binafsi mbele ya halaiki ya watu ambao nao wanaexperience zao.


Waafrika tunapenda Sana UTOPOLO wa DINI.

Kalaghabaho
 
Zwazwa huyo ni wale waafrika wanaopenda ufulafula wa dini na kuangalia KILA Jambo kwa utopolo wa hizo DINI....
 
Mkuu ukweli utakuweka huru siku zote

Unafiki unaongeza mzigo wa kufanya kazi kwa mashaka

Nimekumbuka nisha wahi kumpa kipigo bosi wangu kwa kunilazimisha niseme ungo ili watu wafukuzwe huku mi nikijua bosi hana hela za kuwalipa hivyo anatafuta pa kuwafukuzisha kwa kosa ambalo sio la kweli
Duuuh hatari😂😂😂
 
Yani hapa tupo sawa hata mimi sipendi kujipendekeza kabisa wala kujikomba na hii tabia nadhani ilichangia sana mpaka hao wanaotaka kuitwa maboss wakanibania mkataba na kuniachisha kazi.
Kumita mtu boss huu ni mtiani mkubwa sana kwangu .

Sent using Jamii Forums mobile app

Mengine nimekuelewa,lakini hata kutamka bosi ni msamiati mgumu Kaka?looh kweli una EGO😂😂😂

Ninaamini hata humu JF hujawahi kumwita mtu "mkuu"😂😂.

Peace
 
H
Element za kujikomba sikujaaliwa kua nazo, na hua spendi mazoea ya kjingakjinga.

1st time wakat naanza form one, tulkua tnafndshwa na wahindi. Walikua na utaratb wa kua na "papets" kila darasa waluwapelekea siri za wanafnzi wengne & hao papets walkua wanapewa vizawadi, vyeo na vitengo vizuri "indirectly"

Sku moja mvua inanyesha wakaniita wakanpa mchongo wote & kaz ya kwanza waliyonpa ni kuandika swahili speakers kila jmos niwe napeleka majina atlest 20 kwa siri.

Nlichokfanya nkawa naandika jina langu pamoja na majina mengine manne ya watu ambao ni most suspected pupets. Baada ya wiki wakaniambia imetosha niache, nkacheka sana.

Hicho kitu kilnifnya nkaish maisha magum sana pale shule, sabab wale watu wanataka ujipendekeze kwao, uwasnitch wanaofanya magendo ndo wakuone ni mwema, kitu amcho skuwahkfanya.

Mpka namaliza form 4 nlikua na suspension mbili kwa makosa mepes sana & nlifukuzwa july nkaja kfnya NECTA tu. Skuona shida ata kdogo.
High School na Chuo hukukutana nayo utuhadithie pia?!!
 
Nikishakula Ganja zangu nikashiba na ugali nimelala kwenye mkeka na nina afya.Nitafanya kazi kwa bidii na kuheshimu anayefaa kuheshimiwa kujipendekeza No way RASTA.
 
Dini gani hiyo na ile Iwe ni facts Basi NI wanadini hao wangapi umekutana nao,WAKIWA na background zipi tofauti?elimu zao?vipato vyao?Mahali wanapoishi?race zao?

Otherwise usije ukawa unajiongelea experience yako binafsi mbele ya halaiki ya watu ambao nao wanaexperience zao.


Waafrika tunapenda Sana UTOPOLO wa DINI.

Kalaghabaho
unauliza kama umekatika kichwa, unauliza wangap kwani nikikwambia 20 utakuwa na uhakika gani ama majibu yangu utayapima vipi? kama ya kweli ama laaah

kwani dini ile we umejua ni dini gan?
 
Back
Top Bottom