Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani


Kuna tatizo unalo,hapa huliweki wazi!
 
πŸ‘
 
Mkuu pole Sana lakini hata ukiipata hiyo bastola usiitumie kuwapopoa bnaa Mana kuimiliki Haina maana ndiyo itakutafutia amani na UTULIVU MOYONI😁😁.Mungu anakusudio la kukuumba na PERSONALITY yako ulyonayo,endelea kujisoma na kujitafuta ZAIDI na hao Mazwazwa uliokutana nao ni Katika zile njia anazokupitisha aliokuumba....

Peace in the name of Jah,Yahweh,Allah,Ngai.
 
πŸ€”πŸ€”
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Exquisite πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Daah we noma
 
Mkuu Unataka kuieleza hadhira kuwa WAZAZI wako Waliokuwa WATUMISHI nguli pale ikulu Magogoni enzi za TAWALA zilizopita hawakuwahi KUJIPENDEKEZA?!!!

Ninataraji utanitukana,kunikebehi kwa kizungu na ile tabia yako ya PTSDπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utani bnaaa
Nduguyako likanishuka. Kuendekeza kujuana sana kipaji ujue.
[/QUO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…