[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikufunze dada angu usijariiih.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nifundishe kuchangamka mdogo wangu..maana napoelekea ni huko huko kwenye kukosa fursaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah πππSio ofisin kwenu, ofisi karibia zote za kibongo ziko hivyo maboss wenyewe wanapenda kunyenyekewa na kupelekewa umbeya
Kuna ofisi moja mke wa bosi anafanya kazi sehemu nyingine, lakin anajua maisha binafsi ya karibia wafanyakazi wote
ππKuna wale mpaka wanafunga watu kamba za viatu. Wale jamaa wa kwenye daladala wanao chukua pesa. Wanajua sana kujipendekeza.
ππKujipendekeza kipaji Cha kipekee Sana..nilishashindwa na sitakuja kuweza kujipendekeza..never.
Its called pride, pia unajiamini hutaki kufa kinyonge hata kama huna kitu
Huwa napenda sana staili ya mzee wa msoga [emoji2]
Yaani" watumie ukipata ulichotaka wapotezee"
Ndivyo nilivyo yaani mahali nikiwepo huwa nawafanya wote wawe washikaji zangu siku nikisepa siangalii nyuma .[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini gani hiyo na ile Iwe ni facts Basi NI wanadini hao wangapi umekutana nao,WAKIWA na background zipi tofauti?elimu zao?vipato vyao?Mahali wanapoishi?race zao?hii dini ni kweli ni ndugu zetu ila kwa kuchongeana wako vyema, anzia ngazi za familia,ukoo hadi majirani ni uongo uongo tu hadi wanaume sijui wana tatizo gani hawa jamaa.
Hindus Ni mabingwa wa umbea, majungu na kujipendekeza
πππFactsKujipendekeza ni kubaya, waza umejipekeza kiasi cha bosi kukuomba ngono. Unaweza ukawa na ujasiri wa kumkatalia?
Mkuu mbona SI kweli...Itakuwa ni Baniani akikutana sehemu na Muhindu hao... ligi lazima ziwepo ili mambo yaende!
Duuuh hatariπππMkuu ukweli utakuweka huru siku zote
Unafiki unaongeza mzigo wa kufanya kazi kwa mashaka
Nimekumbuka nisha wahi kumpa kipigo bosi wangu kwa kunilazimisha niseme ungo ili watu wafukuzwe huku mi nikijua bosi hana hela za kuwalipa hivyo anatafuta pa kuwafukuzisha kwa kosa ambalo sio la kweli
Yani hapa tupo sawa hata mimi sipendi kujipendekeza kabisa wala kujikomba na hii tabia nadhani ilichangia sana mpaka hao wanaotaka kuitwa maboss wakanibania mkataba na kuniachisha kazi.
Kumita mtu boss huu ni mtiani mkubwa sana kwangu .
Sent using Jamii Forums mobile app
High School na Chuo hukukutana nayo utuhadithie pia?!!Element za kujikomba sikujaaliwa kua nazo, na hua spendi mazoea ya kjingakjinga.
1st time wakat naanza form one, tulkua tnafndshwa na wahindi. Walikua na utaratb wa kua na "papets" kila darasa waluwapelekea siri za wanafnzi wengne & hao papets walkua wanapewa vizawadi, vyeo na vitengo vizuri "indirectly"
Sku moja mvua inanyesha wakaniita wakanpa mchongo wote & kaz ya kwanza waliyonpa ni kuandika swahili speakers kila jmos niwe napeleka majina atlest 20 kwa siri.
Nlichokfanya nkawa naandika jina langu pamoja na majina mengine manne ya watu ambao ni most suspected pupets. Baada ya wiki wakaniambia imetosha niache, nkacheka sana.
Hicho kitu kilnifnya nkaish maisha magum sana pale shule, sabab wale watu wanataka ujipendekeze kwao, uwasnitch wanaofanya magendo ndo wakuone ni mwema, kitu amcho skuwahkfanya.
Mpka namaliza form 4 nlikua na suspension mbili kwa makosa mepes sana & nlifukuzwa july nkaja kfnya NECTA tu. Skuona shida ata kdogo.
ππππNikishakula Ganja zangu nikashiba na ugali nimelala kwenye mkeka na nina afya.Nitafanya kazi kwa bidii na kuheshimu anayefaa kuheshimiwa kujipendekeza No way RASTA.
Ohh greatTex Palace
unauliza kama umekatika kichwa, unauliza wangap kwani nikikwambia 20 utakuwa na uhakika gani ama majibu yangu utayapima vipi? kama ya kweli ama laaahDini gani hiyo na ile Iwe ni facts Basi NI wanadini hao wangapi umekutana nao,WAKIWA na background zipi tofauti?elimu zao?vipato vyao?Mahali wanapoishi?race zao?
Otherwise usije ukawa unajiongelea experience yako binafsi mbele ya halaiki ya watu ambao nao wanaexperience zao.
Waafrika tunapenda Sana UTOPOLO wa DINI.
Kalaghabaho
Mimi tabia yangu ya Kutopenda Unafiki, Ujinga, Utoto, Upuuzi, Upumbavu, Kujikomba na Kuongopa imenifanya nichukiwe sana kuliko hata Shetani.