Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

Tabia yangu ya kutojipendekeza, kusujudia maboss na kutokuwa mfitini inanisotesha mtaani

Wasanii wa ccm wanakazi asee full kujipendekeza. Hafu rais anasifiwa kinafki anafurahi kanakwamba anapendwa kumbe wanajipendekeza wamrambe pesa.

Nina Law moja maishani mwangu na ninaishika ipasavyo.
With Or without You...I shine.
Love me or Leave me...You can't take away my Destiny.
 
kwenye kujipendekeza kwa kuchongea wengine siwezi ila kusifia mtu nipo vizuri..nakumbuka nipo chuo nilikosa test moja ya DBMS halafu mwaka wa mwisho...Dokta alikuwa anafundisha soma ilo alikuwa mtata sana ana anajulikana sana kwa sifa ya kushika watu..niliendea nikiwa nimejipanga kweli kweli nalianza kwa kumuita dokta nyingi sana na kumsifia sana kwamba sijapata kuona mwalimu kama yeye tangu nizaliwe nikimuuliza kwanini hakuenda havard kwa siyo level ya nchi hii kabisa....mwisho kabisa nilipewa maksi mbili nikiwa na lengo huwa najipendekeza sana mpaka kieleweke
 
Mimi navyojua kazi za serekalini huko ndio huwa hazihitaji kuwa chawa wa boss maana Kuna sehemu husika unaweza kupeleka malalamiko yako ikiwa kiongozi wako anakufanyia mambo ambayo siyo sawa.

Tofauti na sekta binafsi inatakiwa uwe chawa wa boss kweli maana akikasirika tu kazi huna na huna cha kumfanya....

Doooh kumbe hali haipo hivyo?
 
kwenye kujipendekeza kwa kuchongea wengine siwezi ila kusifia mtu nipo vizuri..nakumbuka nipo chuo nilikosa test moja ya DBMS halafu mwaka wa mwisho...Dokta alikuwa anafundisha soma ilo alikuwa mtata sana ana anajulikana sana kwa sifa ya kushika watu..niliendea nikiwa nimejipanga kweli kweli nalianza kwa kumuita dokta nyingi sana na kumsifia sana kwamba sijapata kuona mwalimu kama yeye tangu nizaliwe nikimuuliza kwanini hakuenda havard kwa siyo level ya nchi hii kabisa....mwisho kabisa nilipewa maksi mbili nikiwa na lengo huwa najipendekeza sana mpaka kieleweke
Heri yako umekua mkweli!!?
 
kujipendekeza na kuogopa watu ni kitu ambacho mpaka leo sijutii kuwa nacho....utachukiwa hadi paka wako...
 
Hiyo tabia ya kujipendekeza hata mimi ilinishinda siku nyingi sana,ila mijitu ya kujipendekeza iko mingi sana hata ofisini kwetu,ila nilichogundua wengi ni kutokujiamini ndio kunawafanya hivyo,mimi niko comfortable hata kama ndio kikwazo kutokunipa nafasi za maana,nina amani moyoni mwangu,na hizi hela ndogo nazozipata nafanya mambo makubwa kuliko hata hao wanaojipendekeza na kupata nyingi,afterall life is living,nothing so special than just worship and praise God...
 
JF ina members 500K+

Hadi kufikia hii comment yako huko juu hawajafika hata members 20 waliocomment....sijui unamanisha nini kuandika kila mtu hapa kasema,yani wewe bhana!!
Kwa muda niliokaa jf iko hivi... First comment ina impact kwa comments zifuatazo. Usitarajie kuna mtu atakuja kusema yeye ni fundi wa kulamba viatu.

Baadaye wakifika 500K+ waliocomment nitakurudia ushuhudie
 
Mi navyojua kaz za serekalini huko ndo huwa hazihitaji kuwa chawa wa boss maana Kuna sehem husika unaweza kupeleka malalamiko yako ikiwa kiongoz wako anakufanyia mambo ambayo siyo sawa.
Tofaut na sekta binafsi inatakiwa uwe chawa wa boss kwel maana akikasirika tu kazi huna na huna cha kumfanya....

Doooh kumbe hali haipo hivyo?
kuna mazee mengine uku yanakarbia kustaafu ndio machawa kwenye bodi., Nkajfanya kichwa ngum ctetemekei mtu m na harakat zangu kilchonkuta N mwaka sasa cna majukum unatakiwa kusain na kukaa tu
 
Mkuu ukweli utakuweka huru siku zote

Unafiki unaongeza mzigo wa kufanya kazi kwa mashaka

Nimekumbuka nisha wahi kumpa kipigo bosi wangu kwa kunilazimisha niseme ungo ili watu wafukuzwe huku mi nikijua bosi hana hela za kuwalipa hivyo anatafuta pa kuwafukuzisha kwa kosa ambalo sio la kweli
 
Back
Top Bottom