msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Watumishi wa halmashauri ndo wanaongoza kwa kujipendekeza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie nimesema dini gani mkuu? labda ni iyo 95% iliyo bakiSio kweli ndugu.
Mimi kwenye sehemu nilizopita za kazi hao watu wa dini hiyo mnaowasema hawakuwepo au hata kama walikuwepo haivuki asilimia 5.
Lakini bado majungu na kujikomba kulikuwa kwingi kwa hao watu wa dini mnayoisifia.
Tuchukulie kwa mfano kwenye utawala wa Magufuli halafu tuangalie watu wanaojikomba kwake.
Akina Paulo makonda ni dini gani?Akina palamagamba ni dini gani?Akina Augustino Mrema ni dini gani?
Kitu ambacho hamjajua hiyo ndio asili ya Mtanzania kazi kidogo maneno mengi,wewe ukiwa mchapakazi utachukiwa na kuambiwa unataka sifa.
Nenda nchi kama Sudan kama utakutana na upuuzi kama huu.
Nilikuelewa vema ulicholenga japo hukutaja waziwazi.mie nimesema dini gani mkuu? labda ni iyo 95% iliyo baki
hapana mkuu sema ulijenga picha ambayo siyo naona umetaja hadi watu wasiohusika hadi kuitaja sudaniNilikuelewa vema ulicholenga japo hukutaja waziwazi.
hayahapana mkuu sema ulijenga picha ambayo siyo naona umetaja hadi watu wasiohusika hadi kuitaja sudani
ila kwangu watu wa dini ile (sijui ni ipi) hawajawahi kuwa rafiki na mahusiano mazuri kwa kazini
Mkuu kwanza pole sana maana uchungu wake naujua vizuri maana na mimi ni muhanga.Kama kawaida baada ya kumaliza chuo nikaingia mtaani kusota na maisha bahati nzuri nikapata intern kwenye moja ya taasisi za serikali zinazolipa vizuri.
Changamoto ikawa kumbe kwenye taasisi hizi za serikali inatakiwa ufanye kazi kwa bidii bila kusahau kujipendekeza kwa boss.Kwa jinsi nilivyo tabia yangu ya kutopenda kujipendekeza wala kufitini wafanyakazi wenzagu mimi nikawa natimiza Majukumu kama kawaida.
Kumbe ilitakiwa niwe naenda hata kumuona boss personly angalau mara moja kwa wiki kumsalimia tu ambavyo wengine hufanya sasa mimi nawaza nikamuone manager nimweleze nini cha zaidi wakati meeting za Kila wiki tunakutana na kila mtu anawasilisha ripoti yake?.
Basi bwana boss akaanza kulalamika ooh sina msaada kwenye office ikabidi nifuatilie kujua ninakwama wapi bassi wadau wakanitonya jipendekeze nenda hata mara moja peleka umbea wowote ule atakukubali tu.
Asikwambie mtu hakuna kazi ngumu Kama kuwa mmbeya eneo la kazi Kama hauna tabia hiyo.
Mimi nikasema potelea mbali ilimradi natimiza Majukumu yangu na nipo qualified siwezi kujipendekeza kwenye ofsi hii nitapata kazi hata kwingine.
Mkataba wa intern ukaisha boss Kama kawaida akaaniambia nitafute kazi sehemu nyingine.
Mwamba nikaona siyo kesi nikaingia mtaani nikapata kazi kampuni nyingine ya kibongo aisee kule ndio ikawa balaa bila kuwa mbeya humalizi mwezi unatimuliwa boss anataka kila siku mpishane na wafanyakazi ili apate taarifa mara huyu kapeleka fulani mwizi kaiba mafuta, kifusi.
Daah nikaona pia isiwe kesi nikaacha kazi.Sasa Nina mwaka nasota mtaani nimezunguka kinoma hamna kazi kila Kona patupu wadau wanashauri tafuta hata viongozi wa kisiasa ujipendekeze kazi siku hizi kujuana mimi naona wananisumbua tu.
Natafuta kazi nikiamini qualifications zangu zitanibeba lakini patupu nimeapply sehemu nyingi hata kuitwa hakuna.
Nikatafuta mpaka sehemu za vibarua patupu. Sasa nawaza hii tabia ya kutojipendekeza nitaachaa vipi maana kubadili tabia ni ngumu kama kubadili ngozi.
Mkuu inatokeaga tu mfano mimi nilisingiziwa napeleka habari makao makuu yanayoendelea pale wakati simjui mtu yoyote huko makao makuu mana nilikuwa intern na ni mikoa tofauti nikaona niache kazi mwezi haukuisha yule mzee pamoja na walionisingizia wakatumbuliwa.Duh yaani wewe kufutwa kazi kampuni ikafa? Kwamba ni coincidence au ulikuwa na umuhimu kuliko members wote wa hio kampuni?
Wengine wivu/vijicho vinawasumbua wenzenu kuwa mabosiYani hapa tupo sawa hata mimi sipendi kujipendekeza kabisa wala kujikomba na hii tabia nadhani ilichangia sana mpaka hao wanaotaka kuitwa maboss wakanibania mkataba na kuniachisha kazi.
Kumwita mtu boss huu ni mtiani mkubwa sana kwangu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida baada ya kumaliza chuo nikaingia mtaani kusota na maisha bahati nzuri nikapata intern kwenye moja ya taasisi za serikali zinazolipa vizuri.
Changamoto ikawa kumbe kwenye taasisi hizi za serikali inatakiwa ufanye kazi kwa bidii bila kusahau kujipendekeza kwa boss.Kwa jinsi nilivyo tabia yangu ya kutopenda kujipendekeza wala kufitini wafanyakazi wenzagu mimi nikawa natimiza Majukumu kama kawaida.
Kumbe ilitakiwa niwe naenda hata kumuona boss personly angalau mara moja kwa wiki kumsalimia tu ambavyo wengine hufanya sasa mimi nawaza nikamuone manager nimweleze nini cha zaidi wakati meeting za Kila wiki tunakutana na kila mtu anawasilisha ripoti yake?.
Basi bwana boss akaanza kulalamika ooh sina msaada kwenye office ikabidi nifuatilie kujua ninakwama wapi bassi wadau wakanitonya jipendekeze nenda hata mara moja peleka umbea wowote ule atakukubali tu.
Asikwambie mtu hakuna kazi ngumu Kama kuwa mmbeya eneo la kazi Kama hauna tabia hiyo.
Mimi nikasema potelea mbali ilimradi natimiza Majukumu yangu na nipo qualified siwezi kujipendekeza kwenye ofsi hii nitapata kazi hata kwingine.
Mkataba wa intern ukaisha boss Kama kawaida akaaniambia nitafute kazi sehemu nyingine.
Mwamba nikaona siyo kesi nikaingia mtaani nikapata kazi kampuni nyingine ya kibongo aisee kule ndio ikawa balaa bila kuwa mbeya humalizi mwezi unatimuliwa boss anataka kila siku mpishane na wafanyakazi ili apate taarifa mara huyu kapeleka fulani mwizi kaiba mafuta, kifusi.
Daah nikaona pia isiwe kesi nikaacha kazi.Sasa Nina mwaka nasota mtaani nimezunguka kinoma hamna kazi kila Kona patupu wadau wanashauri tafuta hata viongozi wa kisiasa ujipendekeze kazi siku hizi kujuana mimi naona wananisumbua tu.
Natafuta kazi nikiamini qualifications zangu zitanibeba lakini patupu nimeapply sehemu nyingi hata kuitwa hakuna.
Nikatafuta mpaka sehemu za vibarua patupu. Sasa nawaza hii tabia ya kutojipendekeza nitaachaa vipi maana kubadili tabia ni ngumu kama kubadili ngozi.
Mungu yupi sasa na wewe huamini katika huko kusikoonekana.Mkuu huwa unapenda Sana masuala ya dini na udini..... something is not right in your persona.
Afrika itapiga HATUA ikiachana na haya masuala ya watu kuangaliana juu ya imani na mitazamo ya watu kuamini KUSIKOONEKANA....
Bila ya hivyo kila watu na hivyo vikundi vyenu Vya dini mtaendelea kurithishana chuki isiyokwisha vizazi hadi vizazi.
Mungu anusuru watoto na wajukuu zangu na huo UTOPOLO wenu,aaamin aaaaamin.
Mkuu Mungu Ninayemuamini, yeye yupo Kabla ya hizo dini...Mungu yupi sasa na wewe huamini katika huko kusikoonekana.
Ok, umenijibu kiufasaha kabisaaa, ibada zako kwake unazifanyaje bila kupitia hizi dini za sasa?Mkuu Mungu Ninayemuamini, yeye yupo Kabla ya hizo dini...