Nenda nae PM kama kweli unania ya dhatiiHii umechelewa hii ndio huwa siielewagi...sasa aliopo anachelewa nini kuiweka hii dhahabu ndani...
NIMECHELEA KUONEKANA MKWARE KAMA WAKWARE WENGINE...MAANA KWENYE MSAFARA WA MAMBA NA KENGE WAMO...Nenda nae PM kama kweli unania ya dhatii
Nilimwambia mama yao na ambaye nI dada angu kabisa. Hakuchukua hatua yoyote ile wala Hata hakuwakanya...Walivosema hivo wazazi wao walisikia ? Na wifanya nini baada ya kusikia
Huyoo mama ajiandaee kuleteaa mimbaa hapoo... Baba akee naee anawachekea tuu???Nilimwambia mama yao na ambaye nI dada angu kabisa. Hakuchukua hatua yoyote ile wala Hata hakuwakanya...
Ni mtu wa kupenda sana watoto wake mpaka anavuka mipaka.
Kuna kimoja kilikula chakula kikamaliza kikaacha sahani mezani, Na wazazi wake walikuwepo nikamwambia katoe sahani ikasafishwe, alinijibu Sitaki mbele ya wazazi wake wote. Mama ake alinambia si umsaidie tu kutoa.. Nikasema huyu haya Malezi sio mazuri.
Sasa hivi kamaliza la saba bado anajikojolea kitandani. Mama ake Hana hata wasiwasi
Ndo maisha yao. Ila mama Ndo anawaharibu sana watotoHuyoo mama ajiandaee kuleteaa mimbaa hapoo... Baba akee naee anawachekea tuu???
[emoji23] nimegundua chanzo ni mama yao sio watoto kuiga tabia njeNilimwambia mama yao na ambaye nI dada angu kabisa. Hakuchukua hatua yoyote ile wala Hata hakuwakanya...
Ni mtu wa kupenda sana watoto wake mpaka anavuka mipaka.
Kuna kimoja kilikula chakula kikamaliza kikaacha sahani mezani, Na wazazi wake walikuwepo nikamwambia katoe sahani ikasafishwe, alinijibu Sitaki mbele ya wazazi wake wote. Mama ake alinambia si umsaidie tu kutoa.. Nikasema huyu haya Malezi sio mazuri.
Sasa hivi kamaliza la saba bado anajikojolea kitandani. Mama ake Hana hata wasiwasi
kuna mjomba wangu alimuuliza bibi yake? mbona mimi sikumuona babu akiwa sharobaro (hapo ni baada ya kuona picha ya babu yake kavaa jinsi na miwani enzi izo)Lazima mkuu watoto huwa wanakuaa na maswali Sana... Mtoto wa miaka mitano anauliza wastani wa maswali hata 100 kwa siku!
Atajua mwenyewe na watoto wake. Ila wakija kwangu wanajuaga Sipendagi ujinga kabisa. Heshima ni lazima iwepo.[emoji23] nimegundua chanzo ni mama yao sio watoto kuiga tabia nje
Dada yako asipoangalia siku moja atakuja kulia
Watoto wanatakiwa wachapwe kidogo au kukaripiwa
Issue ya watoto kuwadharau wageni ni mbaya sana aisee.kama ni mgeni kama mimi mwenye roho ndogo sirudiAtajua mwenyewe na watoto wake. Ila wakija kwangu wanajuaga Sipendagi ujinga kabisa. Heshima ni lazima iwepo.
😂😂😂😂😂Issue ya watoto kuwadharau wageni ni mbaya sana aisee.kama ni mgeni kama mimi mwenye roho ndogo sirudi
Alikuja meja jenerari mkuu wacha tuu utanfanya niniHuyo cheo cha baba ake kilikuwa kinampa jeuri
Mkuu hiyo kesi ipo ktk familia yetu. Mtoto wa dadangu tangu yupo Mdogo kabisaa akisikia ccm hamuwezi kusikilizana tena. Anaipenda vibaya mno. Sasa hivi yupo la NNE bado anaipenda sana. Cha ajabu hapo kwao familia yake yote wapinzani. Wakimuuliza anaipendea nini CCM hana sababu hata nusu.Mmoja.ni mwanachama mtiifu wa ccm.yaani huyo ukitaka ugombane nae mwambie wewe ni chadema.
Mgeni akija anamuuliza wewe ccm au chadema.
Kama chadema ondoka kwetu.
Mengine si wazazi hata kidogo ni watoto wenyewe wanachagua pattern zao wenyewe.ni kweli mana muda mwingi mtoto anashinda na sisi kuliko nyie, tunahadaika na malezi ya kizungu bila kujua tunawaharib
Kuna mtoto wa jirani yangu aliwah kunitukana matusi makubwa ambayo hata kuyatamka ni mtihani nilimchapa mbele ya mama ake mwisho nikamwambia mama ake ukiwa unatukana hakikisha watoto wako hawapo karibu wanawasikia leo amentukana mm nimemchapa kesho atatukana kwengine sjui watamfanyaje na kama mzazi unajitia aibu
Yan malezi ya siku hizi ni mabovu sana mtoto anakua anajua mama ananipenda hawezi kunichapa hawezi kunifokea hawezi kunifanya kitu, matokeo akishakia mkubwa mzaz anamshindwa mapemaa
Hahaaa....huyo kirikuu sasaYani mkuu
Dogo anaweza kula mpaka akabakiza chakula ila after 5 min akiona mtu anakula naye anataka
Kuna siku nikawa nakapakulia jikoni .sufuria lipo chini natumia kijiko nikakaaekea nyama moja na mchuzi kwa kijiko sasa si kakaanza kuunguruma kanasema "weka bana nyama sasa ndio nini hiko afu hata mchuzi kidogo emu mimina sufuria:
Mkuu hiyo ya kulalamika kuumizwa siyo mbaya sana, kanaonyesha kujiamini. Hiyo ni dalili nzuri kwamba hata sehemu nyingine hakata kubali kuonewa kirahisi rahisi. Ni vizuri kuwaonya wanapokesea na kuwafundisha tabia njema watoto lakini siyo kuwakataza kila kitu! Kisaikolojia maneno hasi kama "Hapana", "Hacha", "Husiende/Husifanye", "Funga Mdomo", "n.k" yakiwa mengi kwa mtoto yanachangia sana kuharibu vipaji vya watoto na kuwafanya wasijiamini.Kuna wengne ukikafinya kanalalamika kwanguvu mbna unanifinya unaniumiza
My friend huo uzungu sio kwa watoto wa bongo..Mkuu hiyo ya kulalamika kuumizwa siyo mbaya sana, kanaonyesha kujiamini. Hiyo ni dalili nzuri kwamba hata sehemu nyingine hakata kubali kuonewa kirahisi rahisi. Ni vizuri kuwaonya wanapokesea na kuwafundisha tabia njema watoto lakini siyo kuwakataza kila kitu! Kisaikolojia maneno hasi kama "Hapana", "Hacha", "Husiende/Husifanye", "Funga Mdomo", "n.k" yakiwa mengi kwa mtoto yanachangia sana kuharibu vipaji vya watoto na kuwafanya wasijiamini.