Tabia za Ajabu za Watoto

Tabia za Ajabu za Watoto

hahahahha sjaolewa bado loh mtoto ananunuliwa tablets za kichina achezee, hua najionea hasara tu kwan akkwekwa hapo chini ukamsogezea vidude dude akachezea inakuaje? Na hiyo s tabia nzur huwez kuingia kwa mtu ukachukua kitu bila ruhusa ya wenyewe, nina rafiki yangu tulisoma wote, akabahatika kupata mtoto w akiume akaniagizia nimletee kiti na meza ya kulia mtoto chakula sikua na hiyana nikaenda kuulizia bei kwanza subhannallah, ikabidi nimpigie namwambia kwan kuna ulazima wa kutafta hiko kiti?? S umweke chini ale halaf mtoto anakua je kama umepangiwa yai lako n hilo moja? Sikujua bei ingekua hiyo, nikamwambia kwa hii bei waweza mchongea ya nbao nzuri tu ukapata kuliko unayotaka ww,akanisisitiza nitafte ya bei ya chini that day nikakosa nijamwambia lakini huwez amini alikuja kununua hiko kiti na meza nikasema okay n mtoto wake ngoja tusiseme sana wala kuingilia
TUFANYE UTARATIBU BASI...MAANA WANAWAKE WA AINA YAKO NI NADRA SANA...NAPENDA MAMA BORA MLEZI WA FAMILIA...
 
Kulea kazi aisee[emoji16][emoji16]
Acha tu. Keshapasua vioo vya kabati. Simu zangu anapasua. Laptop akikutana nayo inaiweka halafu anarukia kwa juu. Nikilala akiamka akiniita siitiki ananitoboa machoni. Hapo miaka miwili tu
 
Kuna kengine kalikuja home na mama yake
Na mimi nikawa home likizo kipindi hiko nipo chuo
Sasa mi kwa kawaida sipendi mazoea na vitoto
Sikuiyo nipo sebuleni na pc kakaja nako kuangalia
Sijui ikaweje nimesahau. Kakaniambia "wewe hufanyagi kazi unakaa tu hapa kula" nilitamani nikapige sana ila kwa kuwa najua hasira zangu ningekaumiza ilibidi nikafukuze sebuleni
Ahahhahaahhaha
 
Kuna mdogo wake rafiki yangu mmoja aliona ile video ya kondoo wakiwa wanatembea na wanaonekana wanatikisa makalio (ilisambaa sana whatsapp) akasema "mbona wanatembea kama mashoga". Aisee, nilishangaa sana.

Dogo huyo huyo alishamwambia mshkaji fulani aliyekuwa anacheka " mbona unachekacheka kama mwanamke?" Dogo mwenyewe sijui anamiaka minne sijui..

Tuna mtihani sana.
Kawajuaje mashoga itakuwa anasikia mtu anasema hayo maneno nae kakariri
 
Watoto wengi huharibiwa na akina mama, utakuta mtoto hasikii kabisa, akifanya kosa utasikia mama yake anasema wewe achaaa alafu anatulia sasa mtoto anaona km hajatenda kosa anaendelea kurudia makosa zaidi, mama anakuwa bize na simu za tachi....akimuona ndio utasikia achaaa alafu kwa sauti ya mahaba, sasa watoto wamekuwa vurugu tupu aisee!!. Wamama chanzo kikuu
 
Kuna mdogo wake rafiki yangu mmoja aliona ile video ya kondoo wakiwa wanatembea na wanaonekana wanatikisa makalio (ilisambaa sana whatsapp) akasema "mbona wanatembea kama mashoga". Aisee, nilishangaa sana.

Dogo huyo huyo alishamwambia mshkaji fulani aliyekuwa anacheka " mbona unachekacheka kama mwanamke?" Dogo mwenyewe sijui anamiaka minne sijui..

Tuna mtihani sana.
Hii inaashiria malezi mabovu mno.

Nawashangaaga sana wazazi wanaochekelea watoto wanaoongea hovyo na watu wazima wakihisi ndio akili au ujanja. Mtoto akishafikia level fulani akawa na uelewa anapaswa kudhibitiwa ili asikuwe katika ujinga! Ukimchekea ataona ni vizuri na ataendelea kutamka ujinga!
 
Mimi kuna watoto wa dada anguu. Walinambia usiwe unakuja kwetu unatumalizia chakula, na Kuna Kipindi Nilikuwa Mgeni nikafikia kwao, walinambia toka kwetu hatutaki wageni, walikuwa wakubwa tu Kama 10yrs na mwingine 12years hivi...
Asa hivi namaisha yangu,
Sasa hivi ni wakubwa. Na nawapenda.. Ila hizo tabia sijui Kama bado wanazo
Na wanapenda Kweli kuja kwangu coz Kuna zawadi nawachukuliaga wakija wanazikuta. Kuna mda Nacheka na kusema sijui walipataga wapi zile tabia
 
Huo ndo ukweli mkuu. Ila wazazi hawataki kusikia haya, utasikia "zaa wako tuone". Kwa hiyo na sisi tumeamua tusubiri 'tuzae wetu tuone'.
 
Mimi kuna watoto wa dada anguu. Walinambia usiwe unakuja kwetu unatumalizia chakula, na Kuna Kipindi Nilikuwa Mgeni nikafikia kwao, walinambia toka kwetu hatutaki wageni, walikuwa wakubwa tu Kama 10yrs na mwingine 12years hivi...
Asa hivi namaisha yangu,
Sasa hivi ni wakubwa. Na nawapenda.. Ila hizo tabia sijui Kama bado wanazo
Na wanapenda Kweli kuja kwangu coz Kuna zawadi nawachukuliaga wakija wanazikuta. Kuna mda Nacheka na kusema sijui walipataga wapi zile tabia
Bhasi Una moyoo wa tofauti sanaa aisee...!! miaka 12 anaelewa ninii anafanyaa so kukwambia vile alikuwa Ana maanishaa... Duuh
 
Back
Top Bottom