Tabia za Ajabu za Watoto

Tabia za Ajabu za Watoto

odo hua hasemi yuko hivo s muongeaj hata mtoto wake akikosea, chumban kwao hujui nguo safi ni zipi chaf ni zipi, hujui madaftari ya shule ni yapi ya twisheni ni yapi, mtoto hajui soksi kaweka wapi asubh ndio anataka kwenda shule ndio atafte, vyombo sasa wamepeana zam unaweza kuta sufuria ya ugali ya tangu juzi haijaoshwa imevunda na mama yao yupo anakwambia watajua wenyewe me kabla ya kwenda hua namtaarifu odo kesho naja atawaambia hiyo siku kutasafishwa vyombo vitaoshwa nikifika nakuta pasafi baada ha muda wa siku mbili tatu mchezo unajirudia bas hapo ndio tunaanza mbinde anakwambia sioshi chombo kama s zam yangu, unawagombeza wakat mwengine unawachapa wanamuogopa baba yao zaidi kuliko mama yan wakishasikia baba anakuja wote mbio
Ukimlea mtoto katika njia flani ndio hiyo hiyoo ataifataa...!! Kama alizoea kuwa rough chumbani kwakeee bhasi atakuwa na tabia hiyi hiyo hata akioaa...
 
Kuna mama alisimamisha daladala akapanda na mwanae wa kiume wakapata siti moja2 ikabidi yule mama ampakate mwanae mwenye umri wa miaka kama mitano hivi ...sasa yule mtoto akamuuliza mama ....."Mama mbona hatujaoga alaf tunasafiri tunaenda wapi kwani!!!!!„sasa ilikua aibu kwa yule mama tukagundua hajaoga na mwanae hajamwogesha alaf mbaya zaidi ni kwamba wamejipaka mafuta wamekolea hatari ...sjui ilikua babycare ile .....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana
 
Kuna mdogo wake rafiki yangu mmoja aliona ile video ya kondoo wakiwa wanatembea na wanaonekana wanatikisa makalio (ilisambaa sana whatsapp) akasema "mbona wanatembea kama mashoga". Aisee, nilishangaa sana.

Dogo huyo huyo alishamwambia mshkaji fulani aliyekuwa anacheka " mbona unachekacheka kama mwanamke?" Dogo mwenyewe sijui anamiaka minne sijui..

Tuna mtihani sana.
Dooh
 
Vitu vengine n aibu kuvisema, lakini ukweli mchungu uko hivo mkuu
Ukimlea mtoto katika njia flani ndio hiyo hiyoo ataifataa...!! Kama alizoea kuwa rough chumbani kwakeee bhasi atakuwa na tabia hiyi hiyo hata akioaa...
 
odo hua hasemi yuko hivo s muongeaj hata mtoto wake akikosea, chumban kwao hujui nguo safi ni zipi chaf ni zipi, hujui madaftari ya shule ni yapi ya twisheni ni yapi, mtoto hajui soksi kaweka wapi asubh ndio anataka kwenda shule ndio atafte, vyombo sasa wamepeana zam unaweza kuta sufuria ya ugali ya tangu juzi haijaoshwa imevunda na mama yao yupo anakwambia watajua wenyewe me kabla ya kwenda hua namtaarifu odo kesho naja atawaambia hiyo siku kutasafishwa vyombo vitaoshwa nikifika nakuta pasafi baada ha muda wa siku mbili tatu mchezo unajirudia bas hapo ndio tunaanza mbinde anakwambia sioshi chombo kama s zam yangu, unawagombeza wakat mwengine unawachapa wanamuogopa baba yao zaidi kuliko mama yan wakishasikia baba anakuja wote mbio
huyo mama yao angejitahidi basi hata kidogo kuongea nao, i can imagine akifika mgeni atakavyoshangaa hapo karume hahaa. Mimi mama angu ni mpole hivohivo haongei sana lkn alikua anagawa vibao visivyo na idadi duh. unajikuta unafanya majukumu yako bila kuambiwa lasivyo utaskia tu anakuita kwa upole kama hujakosea kitu vile akikukamata uwiii
 
Nilipompeleka shemeji yenu nyumbani mdogo wangu binamu akasema *Dada ms mol* jinsi ulivyokuja kuanza chuo umepauka hakuna MTU aliyehisi ungeolewa mapema kiasi hiki. Alikuwa drs La 4..
Maskini dadaa wa watu aliaibikaa
 
Huyo akikua Mange Kimambi atasubiri.[emoji23]

Mi mdogo wangu aliwahi kuniumbua mbele ya mama, akapiga kwanza simpendi yule aunty wa juzi, sio kama yule wa jana kila akija ananipa chocolate au yule mwingine anapenda kuvaa nguo fupi anajionaa. Nlitamani kiama kitokee hapo hapo.
Mdogo wangu alishawahi nifanyia hii pia. Tumefika NYUMBAni anamwambia mama eti mama otea hizi chipthi kanunua nani? Mama akazuga. Akasema Dada kesho twende tena kwa Anko. Marafiki zangu wa kiume walikua wakipita nyumbani bila kusalimia utasikia wachumba zake dada S wale wanapita.
Kuna siku tunambeleza alale huku anaangalia TV, ikaonyeshwa video ya Dr. Remmy akapiga kelele eti mama jini kwenye tivii. Hapo alikua na Kama 3 - 4 years
 
ohoo sasa mtu akikwambia zaa wako ndyo umpige duh basi inabidi uwe mpole tu, wazazi wengine bana , kuna dogo alikuja home sasa kuna kuku alikua ameatamia sasa ile ametoka eti huyo dogo kavunja mayai karibia yote eti anataka kuangalia kama kuna vitoto ndani jamani dah, nilimwambia tu aondoke kwao sitaki kumwona
Ningempa na kifinyo kidogo
 
Sjui anaona shida gan kuwasemea, me ndio dada yao nikifika nianze kuwatengea hapa mtaweka nguo chafu hapa pangeni madaftar yan na hivi sijaenda so nina uhakika mchezo wao n huohuo kitanda kina mwezi hakitandikwi bas nawaambiaga kwa kuwachekesha kuna siku mtakuja lala na vyura na nyoka vitandani hamjui, unaansa tena darasa mkila mkimaliza hakuna aneondosha vyombo hapo unepika wewe umewatengea wakkmaliza kila mtu ananyanyuka anaenda akaokujua vitakaa hapo tunaviruka tu mpaka nikawa siongei sabahu me vinanikera nafanya, utawaambia basi sufuria ya ugali inasafishwa utaoa huu uchafu wa juu hata ukiilaza wiki haionekani kukera we bwana we abakwambia nan aoshe me sio zam yangu iache hapo hapo dada inafikia point vyombo vuote vinakua vichafu sasa wataka kupika mwiko mchafu sufuria chafu yan uanze kuosha ndio upike mama yao havimkeri mana she is cool

Back
Top Bottom