Tabia za kike kwa baadhi ya wanaume - dalili


Sasa mkuu tatizo liko wapi hapo?? Si tunafuata hoja iliyopo kwenye sredi... au watu wajitambulishe kwanza wanachangia kama wanawake au wanaume?? Maana maelezo yako yanaonekana kusupport kutokuwepo haja ya kumjua mtu jinsia, au bado sijakuelewa?
 
hahaha Hommie mbona unaua hivyo?
Minjemba yenye ID za kike mmesikia? hii ni dalili za......???
 
sema wewe mkuu, mie naona mashkolomageni
 
hahaha Hommie mbona unaua hivyo?
Minjemba yenye ID za kike mmesikia? hii ni dalili za......???
baelezeye mkuu, wengine twawajua ati'
 
ni kweli mkuu, ila with mmu and relatde issues, hii ya gender/sexual orientation becomes an issue

Okay, let's say that's an issue in that part of the forum. But how would you tell apart the case for unisex names, such as Maty, Kulwa, Doto, etc... would you rely on their avatars or a little intro by members about their gender?!
 
Chek avatar yangu utapata jibu,hiyo kitu ni tamu sana.
Yakhe si wajua kule kwetu makorora watu wakiisha kuhisi na vidalili hivyo kama uko msibani usiende haja vichakani maana wataenda angalia ati na kugundua wewe ni walewale au sio!
 



kuna mada unahitaji zaidi michango ya me nyingine ya ke anaejifanya ni ke hali ni me anapotosha na saingine utamjua tu.
 
Sidhani kama ni mawazo yako au umesoma vitabu. Watoto au mtu anapozaliwa huwa anatawaliwa na mambo mawili makuu ingawaje inaweza kuwa zaidi ya hayo. 1. Ni asili (nature) hii ni mtu mwenyewe alivyorithi ule ubinadamu. Kwa kifupi huzaliwa kama mtu na si mbuzi kwa mf. Ndo maana mbuzi anazaa mbuzi na mtu anazaa mtu. Hapa mtoto huwa na viungo aidha vinavyompambanua kama mke au mume. 2. Mazingira (environment)hapa ndo pana umuhimu wa pekee kulingana na maelezo yako. Mtoto anapozaliwa au akiwa tumboni mfano akiwa tumboni mama anaweza kupata ugonjwa au mafadhaiko yoyote toka kwenye mazingira. Pale anapozaliwa suala la kuvaa kama mume au mke si lazima. Hakuna aliyeumbwa anazijua nguo, mikufu au bangili tuseme ukweli. Hii hutokana na pale alipozaliwa amekuta nini. Kwamfano mtu akizaliwa kwenye familia ambako hakuna mwanamke ata 1, akakua basi kama na wa kike moja kwa moja atakuwa na tabia za kiume. Akikuta kuna kina mama peke yake kama ni wa kiume atakuwa kama akina mama piga ua. Ni vyema kujua kuwa mtoto wa kiume wa uswahilini ataitika abee, akiwa wa kiume na kutembea kwa kujiachia kama si kutunisha makalio ili afanane na mama au wale wanawake anaokaa nao HAPA NI KUWA MAKINI NA TABIA ZA MWANAO, kuna uwezekano MKUBWA sabababu ya 2 ikampeleka kwenye USHOGA. HABARI NDO HIYO
 
arifu kama unamjua kwanini usimwi ignore tu??



kumjua kama ni me au ke haina mana kila mara anatoa pumba mfano mzuri nazjaz anaongea pumba yule but kuna uzi zake zimetulia hivo

ju ya memba kufuata lipi zuri lipi baya.
 
Tabia zakishoga,halafu utakuta watu kama hao awkosi kwenda kwa mzee yusufu(kwenye taarabu)nao wakiimba msumarii huo
teheeee teheeeeeeeeeeeeeee
 
Namuhitaji Bwabwa aje kuchangia kwenye hii post atakuwa na mengi mazuri yakutuambia.
 
so wale wanaoappear na kuchangia kama wanaume wakati ni wanawake tusemeje?
 
Mmmh hapa kwa kutumia ID ya kike naomba kupinga kidooooogo!Yote inategemea mhusika anafanya vile kwa madhumuni gani...wengine wanapenda kuvaa ule uhusika hapa kwasababu mtaani hawawezi na wanapenda na wengine wanataka tu kuwachechea TONGOZA TONGOZA wa humu akili.Kwahiyo binafsi naamini kwamba tatizo halipo kwenye ID ya jinsia mtu anayotumia bali DHUMUNI la yeye kufanya hivyo!!
 

Mpwa

Kumbuka All generalization are false including this onehttp://thinkexist.com/quotation/all_generalizations_are_false-including_this_one/216596.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…