Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Kwasababu tu ni mzee haina maana aruhusu kuendelea kuzeeka kwa speed 120!Hahahahahaha mbona alikuwa mzee tangia kale? na kikofia chake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu tu ni mzee haina maana aruhusu kuendelea kuzeeka kwa speed 120!Hahahahahaha mbona alikuwa mzee tangia kale? na kikofia chake...
Hahhahah...we Mayasa nimeshagundua ni mnoko sana!!Hata hivyo hakijaharibika kitu maana mwakilishi wake nipo hapa!Aahh mpe pole sana.. Uwepo wake kwenye hii mada ulikuwa unahitajika sana..
Hahahahah....au unakuta si rizki..... kulaaleki. ushabwinya mtungi wako linakuomba ukalibemende .....GOD FORBID!aiseeee...........:A S 114:
ndio maana ni muhimu kuona product kwanza.... mengine magubegube
Hahahahaha...basi tu ngoja nijinyamazie!!Hujakumbwa na ukame wewe.Mi ukame ndo unanifanya nitongoze vinginevyo akha
pole sana fidel, lakini inabidi kupunguza kutongoza mizimu mkuu... hakuna kutongoza hadi uone product, unaweza ukaingia mkenge halafu ukatoka bomba watu wasikuelewe
Kuna jamaa yangu alilipia nauli mtoto toka arusha hadi dar jamaa kufika ubungo anasikilizia sauti kuona mtu akazima na simu hdi kubadili laini
sijui nini kilitokea baada ya hapo
Kwasababu tu ni mzee haina maana aruhusu kuendelea kuzeeka kwa speed 120!
Hahahahaha...basi tu ngoja nijinyamazie!!
Hahahahaa unatosema ni kweli...ila huyo mtu mpaka apate wa kumchalenge nso atagundulika sio!Isipotokea hivyo ataonekana tu ni smarty wakati walaaaa!mtu anewakilisha kwa research tofauti na ane jua hivo unakubali nilikusoma sawa na kwamba mtu hata ujifanye namna gani lazima elements zaukweli zitachomoza. ningetoa mfano wa memba hapa jamvini lakini naona nitapigwa ban ila kwa ufupi huwezi sema mtu atarusha uzi wa ngono kila siku alafu eti hapendi ngono anajifanyisha.
Thanks mwanaAshadii kaja humu na kapata wapenzi na marafiki wengi kama nini kutokana na maongezi yake, ujuvi wake na politeness yake. Kila mmoja akamshabikia. Ghafla akajitokeza Faizafoxy, kutokana na maandishi yake na mipasho yake, u-pro ccm, basi wengi wakamchukia na kumzushia kuwa ni dume aliyebadilisha ID. Na kule kutokana na kukaa muda mrefu na kuweka mabandiko mengi kama alivyofanya Ashadii, wengine wakaanza kuwafananisha hawa na kuwasema ni wamoja.
Uzuri, kila mmoja wa hawa very articulate members akabakia na msimamo wake na wala hakuteteleka na kuzushiwa kuwa huyu Ashadii ndiye Faizafoxy and vice versa! Tena Ashadii akapuuzilia mbali hiyo assumption na hata kuweza kui-mock in between posts. Baadae watu kuona hawana ushahidi, wakanywea na wengine hata kuanza kuomba urafiki. C'mon people, what's the fussy about knowing someone's gender??!
Mimi kama member I couldn't give a flying duck about someone's ID and gender, as long as what they portray, convey, teach, alert, inform... and what not, is to my liking, and since this is a forum to debate different issues in society; if a fellow member happen to be of a different opinion from that of mine, tunakubaliana kutokubaliana thru right channels! Well, unless kama anajitokeza na kunivutia nami kuanza kumtamani yeye kama demu. Hapo nitataka nihakikishe jinsia yake. Wajua tena mambo ya kukoromewa na vibesi kwenye simu nooouma - kama wengi wanavyoonekana kukumbwa na kisanga hiki!!!
Kwenye society tuna majaji wanaotolea maamuzi mambo magumu bila kuelemea kwenye jinsia. Kuna watu wengine pia wenye nyadhifa muhimu kwenye jamii zinazohitaji majukumu yao kutoelemea kwenye jinsia wakati wa kutolea maamuzi. JF ni sehemu ya habari, maoni na hoja mbalimbali, na kama mtu unaijua jamii yako ipasavyo basi kama ni mwenye kuchangia mawazo yako kwenye mjadala sidhani kuijua jinsia ya member kunaleta uzito mkubwa namna hiyo kwenye hoja hako. Ukizingatia kwamba maoni about society as aired on the forum mengi yako gender neutral.
Hivi kweli mnaweza kuangalia movie kama Big Momma au Miss Doubtfire na kuzifurahia au kuelewa iwapo a minor gender disguise be it prevalent at JF is leaving you feeling disgustingly bitter about?!! Hebu komaeni na kufata hoja zilizombele yenu and all this hullabaloo over trivias would quickly melt away!!
Heheheeh...kwani nani kasema nataka kubaki kijana mie?!Atakuzeesha yule babu Mchungaji!
Heheheeh...kwani nani kasema nataka kubaki kijana mie?!
Hahahahah....au unakuta si rizki..... kulaaleki. ushabwinya mtungi wako linakuomba ukalibemende .....GOD FORBID!
Hahahahha... mimi sikumbuki mara ya mwisho nimetongozwa lini!Ila nafurahi sipati usumbufu!!Hivi wewe unatongozwa mara ngapi kwa siku? kuna wanawake asipo tongozwa anaenda mpaka kwa mganga kujiuliza ana gundu gani?
Hahahahha... mimi sikumbuki mara ya mwisho nimetongozwa lini!Ila nafurahi sipati usumbufu!!
Ashadii kaja humu na kapata wapenzi na marafiki wengi kama nini kutokana na maongezi yake, ujuvi wake na politeness yake. Kila mmoja akamshabikia. Ghafla akajitokeza Faizafoxy, kutokana na maandishi yake na mipasho yake, u-pro ccm, basi wengi wakamchukia na kumzushia kuwa ni dume aliyebadilisha ID. Na kule kutokana na kukaa muda mrefu na kuweka mabandiko mengi kama alivyofanya Ashadii, wengine wakaanza kuwafananisha hawa na kuwasema ni wamoja.
Uzuri, kila mmoja wa hawa very articulate members akabakia na msimamo wake na wala hakuteteleka na kuzushiwa kuwa huyu Ashadii ndiye Faizafoxy and vice versa! Tena Ashadii akapuuzilia mbali hiyo assumption na hata kuweza kui-mock in between posts. Baadae watu kuona hawana ushahidi, wakanywea na wengine hata kuanza kuomba urafiki. C'mon people, what's the fussy about knowing someone's gender??!
Mimi kama member I couldn't give a flying duck about someone's ID and gender, as long as what they portray, convey, teach, alert, inform... and what not, is to my liking, and since this is a forum to debate different issues in society; if a fellow member happen to be of a different opinion from that of mine, tunakubaliana kutokubaliana thru right channels! Well, unless kama anajitokeza na kunivutia nami kuanza kumtamani yeye kama demu. Hapo nitataka nihakikishe jinsia yake. Wajua tena mambo ya kukoromewa na vibesi kwenye simu nooouma - kama wengi wanavyoonekana kukumbwa na kisanga hiki!!!
Kwenye society tuna majaji wanaotolea maamuzi mambo magumu bila kuelemea kwenye jinsia. Kuna watu wengine pia wenye nyadhifa muhimu kwenye jamii zinazohitaji majukumu yao kutoelemea kwenye jinsia wakati wa kutolea maamuzi. JF ni sehemu ya habari, maoni na hoja mbalimbali, na kama mtu unaijua jamii yako ipasavyo basi kama ni mwenye kuchangia mawazo yako kwenye mjadala sidhani kuijua jinsia ya member kunaleta uzito mkubwa namna hiyo kwenye hoja hako. Ukizingatia kwamba maoni about society as aired on the forum mengi yako gender neutral.
Hivi kweli mnaweza kuangalia movie kama Big Momma au Miss Doubtfire na kuzifurahia au kuelewa iwapo a minor gender disguise be it prevalent at JF is leaving you feeling disgustingly bitter about?!! Hebu komaeni na kufata hoja zilizombele yenu and all this hullabaloo over trivias would quickly melt away!!
Ajabu ni kwamba mimi ni kikongwe!!Siajabu na wewe ni Kikongwe!
Hahahahaa unatosema ni kweli...ila huyo mtu mpaka apate wa kumchalenge nso atagundulika sio!Isipotokea hivyo ataonekana tu ni smarty wakati walaaaa!
Hahahaha...MTM punguza uchokozi bro!Thanks mwanawajuvi walishagundua... ngoja tu yatareveal yote, nasubiri tu two down a few more to goBTW, FF is avoiding me and one can know alot by just checking the login time of your suspectsLOL
Yalikukumba mkuu?Umenikumbusha mbali babu...