Tabia za kuku

ANASAHAU KAMA ALIKUWA ANATAGA,SASA UWEPO WA YAI MOJA NDIO HUMKUMBUSHA SEHEMU YAKE YA KUTAGIA.
Mkuu Si Kweli !!..Yaani Akumbuke kuongoza na kufika katika kiota chake kwa malengo ya kutaga alafu hasikute mayai yake Ila hasiendelee kutaga ndo unaita kusahau?....hapo hasau ila amestuka kuna bwege anamchezea mchezo mchafu!!

Jigo
 
mi nafikiri una tatizo la ndani sana na huyu jamaa MSHANA JR,kuna tatizo tena kubwa aidha unalazimisha urafiki au unataka mfanane ubongo.ila kuna shida
unajijibu mwenyewe halafu unapost mwenyewe. we siyo mshirikina.wewe?
 
Mkuu Si Kweli !!..Yaani Akumbuke kuongoza na kufika katika kiota chake kwa malengo ya kutaga alafu hasikute mayai yake Ila hasiendelee kutaga ndo unaita kusahau?....hapo hasau ila amestuka kuna bwege anamchezea mchezo mchafu!!

Jigo
HA HA HA KUMBUKUMBU HAZIMPI KAMA ALIKUWA ANATAGA HAPO,HUJIULIZA ANAKOSA KUMBUKUMBU NDIO HAPO HUTAGA SEHEMU INGINE AU KARIBU TU YA HAPO.
 
mi nafikiri una tatizo la ndani sana na huyu jamaa MSHANA JR,kuna tatizo tena kubwa aidha unalazimisha urafiki au unataka mfanane ubongo.ila kuna shida
taamu wala usijali atatulia tu huyu
 
Swala la kusahau me nakataa, maana wangekua wanasahau banda lao,
Au kama kuna nyumba wakienda hua wanapata chakula kila siku wakifunguliwa lazima waongoze nyumba hiyo,
Sasa kama wanasahau ya jana mmh
 
Kuku ni msahaulifu katika asilimia mia 75-80 hakumbuki
 
Swala la kusahau me nakataa, maana wangekua wanasahau banda lao,
Au kama kuna nyumba wakienda hua wanapata chakula kila siku wakifunguliwa lazima waongoze nyumba hiyo,
Sasa kama wanasahau ya jana mmh
Afadhali umeliona hilo. Haka kajamaa kaongo sana. Kanafikiri kila mtu humu ndani kilaza kama yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…