Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe mwepesi kutoelewa.ANASAHAU KAMA ALIKUWA ANATAGA,SASA UWEPO WA YAI MOJA NDIO HUMKUMBUSHA SEHEMU YAKE YA KUTAGIA.
Mkuu Si Kweli !!..Yaani Akumbuke kuongoza na kufika katika kiota chake kwa malengo ya kutaga alafu hasikute mayai yake Ila hasiendelee kutaga ndo unaita kusahau?....hapo hasau ila amestuka kuna bwege anamchezea mchezo mchafu!!ANASAHAU KAMA ALIKUWA ANATAGA,SASA UWEPO WA YAI MOJA NDIO HUMKUMBUSHA SEHEMU YAKE YA KUTAGIA.
umemjibu vzuri sanaANASAHAU KAMA ALIKUWA ANATAGA,SASA UWEPO WA YAI MOJA NDIO HUMKUMBUSHA SEHEMU YAKE YA KUTAGIA.
mi nafikiri una tatizo la ndani sana na huyu jamaa MSHANA JR,kuna tatizo tena kubwa aidha unalazimisha urafiki au unataka mfanane ubongo.ila kuna shidaUsiwe mwepesi kutoelewa.
hahhaa mshana, tena ukishamuoa Dada yake umchukue na yeye awe analala sebuleniWewe mpaka niwe shemeji yako kwa dadaako (kama unaye) ndio utanifahamu vema
unajijibu mwenyewe halafu unapost mwenyewe. we siyo mshirikina.wewe?mi nafikiri una tatizo la ndani sana na huyu jamaa MSHANA JR,kuna tatizo tena kubwa aidha unalazimisha urafiki au unataka mfanane ubongo.ila kuna shida
HA HA HA KUMBUKUMBU HAZIMPI KAMA ALIKUWA ANATAGA HAPO,HUJIULIZA ANAKOSA KUMBUKUMBU NDIO HAPO HUTAGA SEHEMU INGINE AU KARIBU TU YA HAPO.Mkuu Si Kweli !!..Yaani Akumbuke kuongoza na kufika katika kiota chake kwa malengo ya kutaga alafu hasikute mayai yake Ila hasiendelee kutaga ndo unaita kusahau?....hapo hasau ila amestuka kuna bwege anamchezea mchezo mchafu!!
Jigo
we si nasikia upo kwenye lile kundi lile la kina BilalWewe mpaka niwe shemeji yako kwa dadaako (kama unaye) ndio utanifahamu vema
we siri zako ukifanya.mchezo nazimwaga hapataamu wala usijali atatulia tu huyu
we si nasikia upo kwenye lile kundi lile la kina Bilal
Hahhaahaaaa sasa wewe haya mambo ya kusikia unayasema kila siku, nimekujia Moro ili tufahamiane vema ukaingia mitini ndio maana nikisema una akili kama za kuku sijakosea kabisawe siri zako ukifanya.mchezo nazimwaga hapa
Kuku ni msahaulifu katika asilimia mia 75-80 hakumbukiSwala la kusahau me nakataa, maana wangekua wanasahau banda lao,
Au kama kuna nyumba wakienda hua wanapata chakula kila siku wakifunguliwa lazima waongoze nyumba hiyo,
Sasa kama wanasahau ya jana mmh
Afadhali umeliona hilo. Haka kajamaa kaongo sana. Kanafikiri kila mtu humu ndani kilaza kama yeye.Swala la kusahau me nakataa, maana wangekua wanasahau banda lao,
Au kama kuna nyumba wakienda hua wanapata chakula kila siku wakifunguliwa lazima waongoze nyumba hiyo,
Sasa kama wanasahau ya jana mmh
we unakumbuka nini?Kuku ni msahaulifu katika asilimia mia 75-80 hakumbuki