SongombingoJr
Member
- May 9, 2021
- 15
- 16
Kuna tabia mbalimbali wanakuwa nazo mabosi (hasa watendaji wakuu) wa taasisi za Serikali kama vile mabaraza, bodi, tume na baadhi ya Wizara . Taasisi hizi nyingi hazijiwezi hata kujiendesha vizuri. Watendaji wakuu/mabosi wa taasisi hizi wengi huwa na tabia zifuatazo;
1. Roho mbaya
2. Kila inapotokea safari unakuta. bosi anataka kusafiri yeye.
3. Hubana maslahi ya watumishi au wafanyakazi wengine.
4. Ni washirikina hatari.
Kwa uzi huu tuwataje baadhi ya watendaji (vyeo vyao) na baadhi ya vitabia vya kipumbavu ambavyo huwaumiza wengine. Pengine huenda ikasaidia wakajirekebisha.