Hapana, tatizo la masikini wa Tanzania wanadhani ukiwa na pesa basi unatakiwa kuwagawia bure bure, sina pesa lakini nadhani ni busara kusubiri pesa sawia na jasho nimevulia. Ukiogopa wenye pesa katu huwezi pata pesa milele ustabaki kulalama matajiri wa kibongo wana sifa so and soo!
Mi siamini kama bongo kuna matajiri kama wapo ni wachache sana..wengi ni waizi wa waziwazi na madhulumat tu.
Hapana, tatizo la masikini wa Tanzania wanadhani ukiwa na pesa basi unatakiwa kuwagawia bure bure, sina pesa lakini nadhani ni busara kusubiri pesa sawia na jasho nimevulia. Ukiogopa wenye pesa katu huwezi pata pesa milele ustabaki kulalama matajiri wa kibongo wana sifa so and soo!
Sijui nikuelewesheje, lakini naona hutonielewa bac naamua kukupuuza maana utanipotezea muda/Masikini kazi yao kuvuna wasichopanda, kuombaomba tu, wavivu kufikiri na kuchukua hatua, wanamawazo mazuri na wanakufa nayo bila kuyafanyia kazi, wakipata pesa hawajui kuwekeza bali ni watumiaji wazuri, kazi yao kubwa kulalamika tu!!!! Matajiri wako kila mahali usijilinganishe na nchi nyingine au mkoa mwingine kila mahali wapo, ni wale wanaokuzidi kipato na wamejikomboa kutoka kwenye kulia lia.
Sijui nikuelewesheje, lakini naona hutonielewa bac naamua kukupuuza maana utanipotezea muda/
.. yawn/Usijali nimeshakuelewa unaabudu umasikini. Ila punguza hasira maana utaishia kulalamika kila siku.
.. yawn/
Wengi tunachochanganya ni kudhani kuwa ni mali/fedha za tajjiri ndo zinamfanya tajiri awe na tabia flani. Tunasahau kuwa tajiri ni binadama km yeyote yule na anatabia zake asilia. Ile fedha inachofanya ni kukoleza ile tabia harisi ya mtu huyo tu. Fedha haipandikiza tabia bali fedha inafanya tabia asilia ya mtu kuwa visible zaidi. So ni makosa sana kufkiria matajiri wote wana tabia moja. Wapo matajiri wana roho nzuri sana kuliko majority ya watu maskin.Ungependa uwe tajiri siku moja? Nahisi unachukia utajiri wewe! Hahahaaaa! Huo ni uchaguzi wako kubaki ulivyo. Kuchukia matajiri ni kuchukia utajiri. Kama unandoto nawe uwe tajiri penda matajiri, penda njia zao utajifunza uwe kama walivyo kisha nawe utatesa. Jambo lolote lile ukishalichukia kamwe haliwezi nalo likakupenda, utazidi kuwa mbali nalo! Kuchukia matajiri ni kuchagua umasikini ni kuchagua mateso duniani.
Dini zimeturoga masikini tuchukie utajiri wakati viongozi wa dini ni matajiri na wanaishi kwenye Kasri, wanafanya watu kuchukia matajiri na utajiri eti wanafundisha kwamba HERI walio MASIKINI duniani maana ufalme wa mbinguni ni wao! Kwamba ni rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia mbinguni! Kwa hiyo Ulaya yote, Marekani na Uarabuni wote watakwenda motoni na sisi masikini waaafrika tuchekelee maana tukifa mbingu ni yetu ata kama mbu wanatuuma leo kwa kushindwa kununua net, tunaharisha kwa kunywa maji machafu, tunashindwa kusomesha watoto kwa kukosa hela, tunashindwa kujitibia, barabara mashimo tu, njaa haiishi pamoja na kwamba tunaishi kando ya mito! Hahaaa matajiri watakiona mbinguni wakati masikini wanapeta!! Tazama na upande wa pili wa matajiri ili uwapende uweze kushiriki vita ya kupigana na dhambi ya umasikini! Hatuwezi kujikwamua iwapo hatutajifunza kitu kwa matajiri maana matajiri wote duniani wanafanya yale yale ambayo masikini hawafanyi kiasi kwamba mataifa mengine ni tajiri na mengine ni masikini! Matajiri wote wananidhamu fulani. Usitazame mabaya ya matajiri tu wanamazuri mengi ikiwamo kutoa ajira, hata masikini wanamabaya yao kwa mfano ni wahalifu sana, hahahahahaaaaa !!
Wengi tunachochanganya ni kudhani kuwa ni mali/fedha za tajjiri ndo zinamfanya tajiri awe na tabia flani. Tunasahau kuwa tajiri ni binadama km yeyote yule na anatabia zake asilia. Ile fedha inachofanya ni kukoleza ile tabia harisi ya mtu huyo tu. Fedha haipandikiza tabia bali fedha inafanya tabia asilia ya mtu kuwa visible zaidi. So ni makosa sana kufkiria matajiri wote wana tabia moja. Wapo matajiri wana roho nzuri sana kuliko majority ya watu maskin.
Unachosema ni kweli, utapochukia matajiri, utajiri uusahau. Ila pia kuchukia matajiri ni kichaka walicho/wanachokitumia maskin kujiplease kwa wao kuwa maskin. Ni kweli kanisa limetudanganya sana katika kutushawish tuwe maskin wakati ukigeuka upande wa pili kanisa hilo hilo linawafagilia sana matajiri.
Nenda leo hii kwenye harambee za kwenye makanisa yetu uone jinsi Baba Askofu anavyotetemeka mwili na mapaja akimuona Tajiri katka harambee na muangalie pia reaction yake akimuona maskin. Pia angalia kwenye maharambee jinsi kanisa linavyowatafuta wenye pesa wawe wageni rasmi. Sijawahi kuona mkristu mwenye imani kali na asiye na pesa kaitwa kuwa mgen rasmi kwenye harambee. Mambo mengine ya kanisa tuyapokee na sisi tujiongeze.
Ungependa uwe tajiri siku moja? Nahisi unachukia utajiri wewe! Hahahaaaa! Huo ni uchaguzi wako kubaki ulivyo. Kuchukia matajiri ni kuchukia utajiri. Kama unandoto nawe uwe tajiri penda matajiri, penda njia zao utajifunza uwe kama walivyo kisha nawe utatesa. Jambo lolote lile ukishalichukia kamwe haliwezi nalo likakupenda, utazidi kuwa mbali nalo! Kuchukia matajiri ni kuchagua umasikini ni kuchagua mateso duniani.