kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Hii nchi imejaa majitu ya ajabu sana, majitu yenye roho za kwa nini,machawi,yenye wivu,husda na kuombea wengine mabaya Pumbavu kabisa,
Kuna mapumbavu ,linaweza likaenda hotel,bar au sehemu limealikwa au limetolewa out kwa uzuri tu,Ila likafika sehemu husika vizuri tu,kwanza likashangaa mazingira kama mwenye sehemu linamjua na haliamini kama ni yeye anamiliki hiyo sehemu,basi lazima lifanye mambo ya kukomoa,nimeyashuhudia
mengi yanaharibu miundo mbinu makusudi kabisa,jitu linaharibu Koki za maji makusudi washroom (msalani) eti ili mwenye mali apate bili kubwa ya maji,likishindwa kuharibu linafungulia tu maji ili yamwagike tu, Pumbavu kabisa hata bili ikija million 2,utadhani labda kuna mgao litapa,Sana Sana litaendelea kuongeza idadi ya vidonda vya tumbo,
Kenge mmoja, anakuta kuna panya anaharibu miundo mbinu ya maendeleo, iliyogharamiwa na SERIKALI kwa gharama kubwa kupitia Kodi zetu,anamuangalia na kusema jamaa yuko fasta ameng'oa kibao cha Alama Barabarani mchana kweupe na amesepa nacho,dereva mlevi,Lena anagonga nguzo ya umeme ,taa za Barabarani zinaanguka na anaondoka anatokomea,kenge anasema hayanihusu wakati hapo ni michango yetu kwenye kapu la hazina imeteketezwa,Pumbavu sana,
Kuna majitu mengine ,unapokuwa uko choka mbaya yanafurahi sana,kwa kuwa yanakujambia hovyo yanavyotaka,ila kwenye upambanaji wako ukitusua tu mnakuwa maadui wakubwa sana,lawama,visingizio visivyoeleweka kibao,unaweza we ukawa unataka kariakoo unaenda ubungo, ye amesimama kwenye kituo cha daladala magomeni mapipa anaenda posta,ila akasema ulimpita ukamnyima lift, huyu ni mchawi mtafuta sababu,
Ngoja ntakuja baadae kumalizia