Tabia za wake za watu vyuoni kwakweli zinanikatisha tamaa badilikeni jamani

Tabia za wake za watu vyuoni kwakweli zinanikatisha tamaa badilikeni jamani

hhahhaa ila jamaaa amesema ukweli hapo sitetei !nadhan na frustuations,kubanwa banwa na mambo ya ndoa na familia pia ! unaweza tafuta firaha kwa nia nyingi sio hizo wanazofanya !Ila nipeleke tu mwakani mzumbe hapo mume wangu ! ila kila wknd uwe unakuja !
Hapana aisee hizo hizo ulizo nazo zinatosha

Tatizo moyo
Wivu ndo usiseme
 
Mkuu ungetuma na picha tujue kama kweli ni Wake za Watu au lah! Pia hivi bado kuna Watu bado wanasomesha Wake/Wachumba zao bado!?
Kwanini umeuliza swali hilo mkuu?
 
Nikweli mkuu,jamaa yangu mkewake (alikua day nafamilia yake)wakati yupo chuo alikua mjamzito baada ya kujifungua tu ikawa yeye ni kung'onoka anapotoka chuoni utasikia baby naenda kwarafiki yangu anataka nimsindikize mjini, mara sabasaba,kikubwa zaidi alikua na line ya cm ambayo mumewe haifahamu akihitaji kuongea na michepuko yake anaiweka hiyo! siku ya siku mke akamuaga mumuwe anatoka kidogo,mumeikabidi amfuatilie mkewe anako elekea, kabla mkehajafika anakoenda mchepuko ukashituka jamaa akakimbia,mke alivyofika maeneo (ilikua guest moja ipo Bahirod karibu na makaburi ,bibie alipo geuka nyuma akamuona mume wake akaulizwa vp mbona huku?mke akajikanyaga kanyaga mume akamwambia rudi home usiku tutamaliza sasa sijui kilicho endelea huko,vyuo hivyo na wake za watu [emoji11][emoji11]
 
Dooh lakini jaman siyo
Acheni kujifanya mioyo inaumia akati nyie mkienda kujiendeleza mnaoa kabisa ...mnawaacha wake zenu mkoani mkisema wamechoka...waacheni na wao waliwe na dogodogo..ni bamba to bamba.
 
hata sokoni ukieatuma wanainamishwa, harusini, send off na misibani sembuse vyuoni?
 
na vijana wa siku izi mshipa wa aibu hawana kabisaaaaaaaaa.....
kijana ana 20yrs anamkula mmama wa 35yrs bila hiyana na anampa dozi ya hatari mpaka mmama anauliza umepata wapi ujasiri wa kunichungulia na kunipa dozi kamili kama hii
35 ni mmama kweli nilijua ni65
 
Ndo maana ya kumpeleka chuo ili akachangamshwe na vijana wenye dam ya moto akirudi dochvere ua motooooo... Unalamba tu asali
 
\nilikua na rafiki mzenji !kifupi aliondoka chuo amesokota dread! sijui huwa nn
Kuna mmoja nilimtupiaga kamba akiwa first year alikuwa ni full ijabu na juba mwaka wa pili naenda disco namkuta anakunywa pombe huku kavaa vile vi jinsi vimekaa kama chupi hapo nilichoka kabisa
 
Habari ndugu!
Kuna baadhi ya wanaume ndani ya ndoa huamua kumwendeleza kielimu/kumsomesha mke wake katika ngazi mbalimbali ili wasaidiane baadae kupambana na maisha!
Lakini tabia za hao wake za watu waliowengi wafikapo chuoni kwakweli tabia zao zinasikitisha na kukatisha tamaa!

Ilitazamiwa mtu mzima ambaye ni mke Wa mtu afikapo chuoni awe mfano bora Kwa mabinti wadogo kwa kuwashauri kujistili na tabia njema lakini cha kusikitisha wadogo ndiyo wamegeuka walimu wao katika kuwaharibu tabia.

Mke Wa mtu anatoka mkoani na tabia safi, mavazi mazuri lakini anapoanza chuo anageuka kahaba, hamnyimi mtu, anavaa vimini utafikiri baamedi, haachi kuruka viwanja na wengine pasipo aibu huvua Pete na kuishi kinyumba na mabwana mjini ili hali huko kijijini wameacha familia zao!

Wengine wakinogewa zaidi hulazimisha kuvunja ndoa zao ili aolewe!

========

Wake za watu waoneeni huruma waume zetu.
Na nyie wanaume wenzagu mnaosomesha, Acheni ubwege Wa kupitiliza! Wewe mkeo anaenda chuo na unatambua fika mkeo mashallah lakini hufuatilii amefikia wapi,analala wapi, anakula nini! Hufuatili nyendo zake chuoni kwakweli nanyinyi mnachangia sana wake zenu watafunwe!

LAKINI UKWELI WAKE ZA WATU WANATAFNWA KILAINI SANA HUKO VYUONI HADI AIBU!

*****************

Kuna jamaa angu alishachanganyikiwa kisa alimtembelea mkewe hosteli akakuta anatafunwa!
Badilikeni ndugu zangu !
Na nyie wanaume vp hamyafanyi hayo
 
Kama ni wa kutafunwa hata ungemfungia ndani atatafunwa na popobawa!
 
And the reverse is true. Wanaume wenye ndoa nanyie mkiwa chuo ni hatar
 
Habari ndugu!
Kuna baadhi ya wanaume ndani ya ndoa huamua kumwendeleza kielimu/kumsomesha mke wake katika ngazi mbalimbali ili wasaidiane baadae kupambana na maisha!
Lakini tabia za hao wake za watu waliowengi wafikapo chuoni kwakweli tabia zao zinasikitisha na kukatisha tamaa!

Ilitazamiwa mtu mzima ambaye ni mke Wa mtu afikapo chuoni awe mfano bora Kwa mabinti wadogo kwa kuwashauri kujistili na tabia njema lakini cha kusikitisha wadogo ndiyo wamegeuka walimu wao katika kuwaharibu tabia.

Mke Wa mtu anatoka mkoani na tabia safi, mavazi mazuri lakini anapoanza chuo anageuka kahaba, hamnyimi mtu, anavaa vimini utafikiri baamedi, haachi kuruka viwanja na wengine pasipo aibu huvua Pete na kuishi kinyumba na mabwana mjini ili hali huko kijijini wameacha familia zao!

Wengine wakinogewa zaidi hulazimisha kuvunja ndoa zao ili aolewe!

========

Wake za watu waoneeni huruma waume zetu.
Na nyie wanaume wenzagu mnaosomesha, Acheni ubwege Wa kupitiliza! Wewe mkeo anaenda chuo na unatambua fika mkeo mashallah lakini hufuatilii amefikia wapi,analala wapi, anakula nini! Hufuatili nyendo zake chuoni kwakweli nanyinyi mnachangia sana wake zenu watafunwe!

LAKINI UKWELI WAKE ZA WATU WANATAFNWA KILAINI SANA HUKO VYUONI HADI AIBU!

*****************

Kuna jamaa angu alishachanganyikiwa kisa alimtembelea mkewe hosteli akakuta anatafunwa!
Badilikeni ndugu zangu !
Hahaha
 
Back
Top Bottom