[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3]Kwahiyo hawawezi kuvunja biskut hadi waloweke kwenye chai??
Badiliken mkae ka wana ume ndo mtaachwaWanaume wa mikoani mna wivu wa kike. Kila siku mnatufuatilia....
Wa Kwanza Huyo KujitokezaWaje mikoani halafu wakiwakataa mjiue?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angalau tunajua kusoma na kuandika.
Radha ni nini?
Nimecheka sana hii comment [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mmoja alikuwa anasoma gazeti ghafla akashtuka!namuuliza vipi??eti hili jikaratasi la gazeti limenchoma kidoleni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mtu wa mkoani analala anawaza wanaume wa dar
watu wa mikoani mvua hizi mkaandae mashamba
[emoji23][emoji23][emoji23]Yap hata kutoa pattern ya simu wanaomba msaada hawa jamaa mlenda mlenda