Tabia za wanaume baadhi wa Dar zinaendana na dalili za ushoga

Tabia za wanaume baadhi wa Dar zinaendana na dalili za ushoga

Mkitoka mashambani mnakuja kichwa kichwa Dar mnaishia kufanyishwa kazi za unenguaji. Wapaka poda ni nyie mnaokuja
 
Wanaume wa mikoani naona kama wana dalili sio maana kila Siku ni kuwasema wanaume wenzao
 
Wanaume wa mikoani wamekubuhu kwa umbea kwa sasa maana wakiamka wanaanzisha thread kuwalilia wanaume wa Dar,tafuteni nauli mje Dar ingawa tunajua mnafikia kwa shemeji zenu yaani aumizwe dada ili wewe upate chai ya maziwa na mkate nyambafuuuuu.
 
Huu uzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom