Tabia za wanaume baadhi wa Dar zinaendana na dalili za ushoga

Tabia za wanaume baadhi wa Dar zinaendana na dalili za ushoga

-------------------------
1. Kutia kalikiti nywele
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo.
4. Kutoboa pua/sikio.
5. Kupaka lip shine.
6. Kuvaa nguo za kuacha mapaja nje.
7.Umbea.
8.Kupigana vijembe.
9.Kupenda taarabu.
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti hapa akiongea na mpenzi wake wote sauti za ke.
11.Wanakata viuno na kubinua matako hapa uwakute kwenye singeli utaelewa nini namaanisha.

Poleni wanawake wa dar mpaka mtaingia kaburini bila kupata radha kamili ya MWANAUME...Karibuni mikoani....
umesahau kulamba lamba lips kama daimondo
 
Too bad umetumia sample ya unakoishi kufanya assumption kwamba Jiji hili zima ndo lilivyo.

What did you expect kama hao ndo washkaji zako na bata mnaenda kwenye taarabu?
 
-------------------------
1. Kutia kalikiti nywele
2. Kujichubua
3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo.
4. Kutoboa pua/sikio.
5. Kupaka lip shine.
6. Kuvaa nguo za kuacha mapaja nje.
7.Umbea.
8.Kupigana vijembe.
9.Kupenda taarabu.
10. Kurembua macho/Kulegeza sauti hapa akiongea na mpenzi wake wote sauti za ke.
11.Wanakata viuno na kubinua matako hapa uwakute kwenye singeli utaelewa nini namaanisha.

Poleni wanawake wa dar mpaka mtaingia kaburini bila kupata radha kamili ya MWANAUME...Karibuni mikoani....

Kama kuna ka ukweli aisee curl kit kutinda nyusi na hizo lip shiner nakubaliana na wewe
 
Aisee huo ujasiri wa wavulana wa mikoan upo ktk mitandao tu

Wakija hapa dar jitu zima limekupita umri linaingia ofisin kuomba ajira linakupigia magoti halafu kwaunyonge linasema shkamoo
 
Kwa kwelii kabisa, wanaume wenzangu wa Dar mmezidisha sana ubwenyenye.

Eeet mpaka mua mnakamuliwa this too much?
 
Kuna mmoja alikuwa anasoma gazeti ghafla akashtuka!namuuliza vipi??eti hili jikaratasi la gazeti limenchoma kidoleni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata wanaume wa Morogoro nao wana tabia hizi juzi nimewakuta wanakula mahindi ya kuchoma huku wanayapaka chumvi pilipili na limao
 
Back
Top Bottom