Tabia za wanaume wafupi

Tabia za wanaume wafupi

Utakuwa mshilikina wewe kila muda unawanga.
Unapokuwa thamani yako ya chini afu, unatamani upate zari la mtu wa maana, smartness zero, mwonekana 20%(mhindi no chura), kauli zako domo kubwa na chafu, hufai kuwa na mtu mwenye hadhi yake utachafua cv za watu..!
 
Pambana na hali yako.
 
mnajifanya kuchagua warefu angalieni urefu wa baba zenu. wengi wenu wazazi wenu ni mbilikimo. na hela za wafupi muwe mnazitenga. sio mnakula pesa zao, wakiwala hadi upande wa pili mnalialia na kujitwisha falsafa.
 
wafupi wamezid tabia nyingine wachoyo
mnajifanya kuchagua warefu angalieni urefu wa baba zenu. wengi wenu wazazi wenu ni mbilikimo. na hela za wafupi muwe mnazitenga. sio mnakula pesa zao, wakiwala hadi upande wa pili mnalialia na kujitwisha falsafa.
 
Mbona mm ni mrefu sana lakini naambiwa na mademu kuwa na tabia izo.

Shenzi kabisa kumbe wananisingizia?
 
mnajifanya kuchagua warefu angalieni urefu wa baba zenu. wengi wenu wazazi wenu ni mbilikimo. na hela za wafupi muwe mnazitenga. sio mnakula pesa zao, wakiwala hadi upande wa pili mnalialia na kujitwisha falsafa.
Baba yangu futi sita.hajawahi kuwa mfupi...kwetu hakuna mfupi ndugu.kuhusu ela ukijipendekeza nakula tu .
 
Unapoteza muda wako kubishana na kiazi mbatata ? Itakuwa na wewe kiazi mwenzangu.
Dawa ya kiazi mbatata ni korie ya moto na mafuta ya transformer, huko ndiyo hadhi yako be aside wait for another episode..!
 
Back
Top Bottom