Tabia za wanaume wafupi

Tabia za wanaume wafupi

Hatujui ndio.
wao pia wanajua kuwa unawadharau. hivyo ukichukua hela zao wanakula fasta kisha hawataki mjuane. ukianza kumendea hela nyingine hawataki tena. thamani ya mwanamke huwa ni siku ya kwanza tu. ukila basi huwezi kumtaka tena ndio maana kwenye ndoa huwa ni uvumilivu tangu siku ya pili ya ndoa.
 
Kwani anaondoka nacho akila hahaha.raha tunapata wote.
 
sasa kwanini msemane vibaya unapofika wakati wa kila mtu aende na chake? life is simple. you take money he takes apple. that is all you have. complaints are, thus, immoral.
Hiki kijimdada kishamba, pongezi kwa jamaa aliyekitusua na kukitupilia kule (kwenye dustbin), tujimwanamke twa hivi ni kero mpaka ukakazoee lazima ujitoe ufahamu, afu unaweza ukikaona mpk utashindwa kujijibu maswali mengi..!

Vijidemu vingi vyenye mdomo hapa jf, ukiviona ata kuvila na kuviacha lazima uwe na roho ya huruma la sivyo unaweza regret kabla ya kusex navyo..!
 
Hahaha una tabu sana.
 
Kama unahisi hii mada nimeanzisha kisa kuachwa umechelewa..sio kila MTU ni muhanga sa mapenzi.
 
Back
Top Bottom