agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
- Thread starter
-
- #121
Nikuulize wewe unayejua.kumbe hujui unachotaka? ndio maana unachukua mwanaume asiyeendana na wewe. umewahi kuona mluguru kaoa msukuma?
wao pia wanajua kuwa unawadharau. hivyo ukichukua hela zao wanakula fasta kisha hawataki mjuane. ukianza kumendea hela nyingine hawataki tena. thamani ya mwanamke huwa ni siku ya kwanza tu. ukila basi huwezi kumtaka tena ndio maana kwenye ndoa huwa ni uvumilivu tangu siku ya pili ya ndoa.Hatujui ndio.
Aisee !!!..dunia ina mambo.Dawa ya kiazi mbatata ni korie ya moto na mafuta ya transformer, huko ndiyo hadhi yako be aside wait for another episode..!
yaani kuwa wewe mrefu tafuta warefu wenzio. wafupi unawapeleka wapi? na wanakuvutiaje kama sio type yako?Nikuulize wewe unayejua.
Kwani anaondoka nacho akila hahaha.raha tunapata wote.wao pia wanajua kuwa unawadharau. hivyo ukichukua hela zao wanakula fasta kisha hawataki mjuane. ukianza kumendea hela nyingine hawataki tena. thamani ya mwanamke huwa ni siku ya kwanza tu. ukila basi huwezi kumtaka tena ndio maana kwenye ndoa huwa ni uvumilivu tangu siku ya pili ya ndoa.
Slowdown you are facing obstacle ahead..!Aisee !!!..dunia ina mambo.
Sawa.yaani kuwa wewe mrefu tafuta warefu wenzio. wafupi unawapeleka wapi? na wanakuvutiaje kama sio type yako?
sasa kwanini msemane vibaya unapofika wakati wa kila mtu aende na chake? life is simple. you take money he takes apple. that is all you have. complaints are, thus, immoral.Kwani anaondoka nacho akila hahaha.raha tunapata wote.
Wacha bna.Slowdown you are facing obstacle ahead..!
Hiki kijimdada kishamba, pongezi kwa jamaa aliyekitusua na kukitupilia kule (kwenye dustbin), tujimwanamke twa hivi ni kero mpaka ukakazoee lazima ujitoe ufahamu, afu unaweza ukikaona mpk utashindwa kujijibu maswali mengi..!sasa kwanini msemane vibaya unapofika wakati wa kila mtu aende na chake? life is simple. you take money he takes apple. that is all you have. complaints are, thus, immoral.
Kama huna hizo tabia huwezi kuhisi umedharauliwa.sasa kwanini msemane vibaya unapofika wakati wa kila mtu aende na chake? life is simple. you take money he takes apple. that is all you have. complaints are, thus, immoral.
Hahaha una tabu sana.Hiki kijimdada kishamba, pongezi kwa jamaa aliyekitusua na kukitupilia kule (kwenye dustbin), tujimwanamke twa hivi ni kero mpaka ukakazoee lazima ujitoe ufahamu, afu unaweza ukikaona mpk utashindwa kujijibu maswali mengi..!
Vijidemu vingi vyenye mdomo hapa jf, ukiviona ata kuvila na kuviacha lazima uwe na roho ya huruma la sivyo unaweza regret kabla ya kusex navyo..!
Kama unahisi hii mada nimeanzisha kisa kuachwa umechelewa..sio kila MTU ni muhanga sa mapenzi.Hiki kijimdada kishamba, pongezi kwa jamaa aliyekitusua na kukitupilia kule (kwenye dustbin), tujimwanamke twa hivi ni kero mpaka ukakazoee lazima ujitoe ufahamu, afu unaweza ukikaona mpk utashindwa kujijibu maswali mengi..!
Vijidemu vingi vyenye mdomo hapa jf, ukiviona ata kuvila na kuviacha lazima uwe na roho ya huruma la sivyo unaweza regret kabla ya kusex navyo..!
Kwahyo ni kweli uliliwa bure na mtu mfupi?Hahaa pole.
Wambie wengine siyo mimi, i know you well...!Kama unahisi hii mada nimeanzisha kisa kuachwa umechelewa..sio kila MTU ni muhanga sa mapenzi.
Wafupi hizo ndo tabia zao 90% na ukiona mtu kajistukia ujue no tabia zake.Kwahyo ni kweli uliliwa bure na mtu mfupi?
Kwahyo tumekubaliana kuwa izo ni tabia za mtu bila kujali ni mrefu au mbilikimo?
Asante.
Mweeeee hahaha.kwanza hiyo mada unaionaya mwaka gani?Wambie wengine siyo mimi, i know you well...!
Ushawafanyia utafiti wangapi? tuanzue hapo kwanzaWafupi hizo ndo tabia zao 90% na ukiona mtu kajistukia ujue no tabia zake.