Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita.
Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili na kukua na kusambaa.
Miaka 700 baadae uislam ukashamili na vita ikapigwa sana na sheria ngumu zikatungwa dini nyingi za kiyahudi na kikristo zikapungua na uislamu ukashamili.
Kushamili kwa uislamu na Mauwaji ya halaiki kukachochoa kutolea vita kubwa ya kidini. (siitaji)
Katika ukuwaji wa viwanda na technology, ikasambaratisha falme za kidini na kuwa chini ya wazungu (ukoloni.)
Hapo Ndipo mataifa kama palestina yakaanza.
Chokochoko zilianza Miaka 1800 mpaka 1948 mahujaji wa kiyahudi, kiislamu na kikristo walitekwa kwa kuuwawa na waparestina.
Chanzo cha Mauwaji ni uvivu na Tamaa za mali na sababu za imani kali za kidini.
Jerusalem ikawa si sehemu salama kutembelea. Ndipo ukapangwa mpango wa siri wa kuwarudisha wayahudi wenye roho ngumu kupambana na Hawa waparestina wenye roho mbaya na wavivu kufanyakazi, mpaka Leo hapakaliki yaani maana yake Palestina na Israel ni pipa na mfuniko.
Hata kama wayahudi wataondoka Palestina, Mauwaji dhidi ya watu hayataisha, watauwana wao kwa wao. Ni watu wa ajabu sana ni kama wavutabange wameanzisha nchi yao.