Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
Zipo koteLabda huko kwenu, hizi tabia hazipo huku kwetu.
Acheni hizo tabia[emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini watu mnao ishi vijijini mnashida yote hayo ni mageni kwangu duh "eti ukitoka safarini eti lazima ununue mkati'........ ....wakati kila asbh unapatikana nyumbaniHivi kwanini
- ukitoka safarini lazima ununue mkate?
- inakuaje mgeni ndio alie kwenye sahani ya udongo?
- eti mtu akitoka dar lazima aje na machungwa
- chupa ya chai ikivunjika inakua ya kuwekea chumvi, huu si uchawi huu?
- kuku ikichinjwa lazima mapaja ale baba, na shingo ale aliechinja kuku. .
- shati lililochakaa ndio dekio jipya
Kama kuna vingine ongezea.
Acheni hizo tabia
Tunashukuru awamu ya 5 kwa juhudi hizi.IQ ndo tatizo, IQ ndogo inamfanya binadamu ajione mnyonge, tunathamini zaidi wageni klk sisi wenyewe, vyombo vinanunuliwa shauri ya kumfurahisha mgeni na siyo watoto wa familia, Baba anakula nyama nzuri na watoto mabaki baki badala ya baba kujitoa na kuwa mwisho baada ya watoto kushiba yeye ndo anakuwa wa kwanza kula, halafu anajiita kichwa cha familia, wazazi hawali chakula wanachowanunulia watoto wao wanakula nje nyama choma, kwa nini hiyo nyama choma asiwachukulie na familia pia? Huo ni ubinafsi, ...
[emoji23] unavijembeSiku hizi bado kuna wageni kwenye majumba ya watu,maisha yamebadilika yako utafanya saa ngapi kutwa vijumbani kwa watu kupeleka kunguni
Sipo kijijiniLakini watu mnao ishi vijijini mnashida yote hayo ni mageni kwangu duh "eti ukitoka safarini eti lazima ununue mkati'........ ....wakati kila asbh unapatikana nyumbani
Ubinafsi sanaIQ ndo tatizo, IQ ndogo inamfanya binadamu ajione mnyonge, tunathamini zaidi wageni klk sisi wenyewe, vyombo vinanunuliwa shauri ya kumfurahisha mgeni na siyo watoto wa familia, Baba anakula nyama nzuri na watoto mabaki baki badala ya baba kujitoa na kuwa mwisho baada ya watoto kushiba yeye ndo anakuwa wa kwanza kula, halafu anajiita kichwa cha familia, wazazi hawali chakula wanachowanunulia watoto wao wanakula nje nyama choma, kwa nini hiyo nyama choma asiwachukulie na familia pia? Huo ni ubinafsi, ...
Sio kwamba wengi wape? Kwa maana katumia collective meaning.Dhana nzima ya "Watanzania" kama kitu kimoja ni hadithi ya kutungwa.
Kwa Lowassa unafikiri ni sawa na kwa Mkulima wa Katavi?
Sasa ukitumia wengi wape, hao wachache wanakuwa si Watanzania?Sio kwamba wengi wape? Kwa maana katumia collective meaning.
Kwenye asilimia kubwa ndio ushindi unapopatikana sikuzote, wengi waoDhana nzima ya "Watanzania" kama kitu kimoja ni hadithi ya kutungwa.
Kwa Lowassa unafikiri ni sawa na kwa Mkulima wa Katavi?