Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mila za hovyo kabisa hizi...dini za kigeni zimetuletea ustaarabu mzuri sana wa maisha.Makabila haya yanaenda mbali zaidi, walikuwa na ujilani mwema, inamaana Mzee aliruhusiwa kula mkeMwana( mke wa mtoto). Ilikuwa ukitoka marishoni ukikuta Fimbo au mkuki mlangoni! Ilikuwa ni ishara huko ndani mzee anashughulika, hivyo ni lazima usubiri kwanza hadi mzee amalize!
Kwanza kabisa ilikuwa ni mkosi kwao kuona mtu anapokata roho, hivyo mgonjwa aliyezidiwa walimtenga, kwa kumjengea kibanda shambani mbali kabisa, walimuacha huko na kumuwekea chakula cha kutosha!