Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitu hiyo haina Kabila. Ni makuzi, Gene za mhusika na Maumbile yake basi. Fuatilia tabia za huyo binti ukiridhika naye ndipo uulizie suala la Mila kwa maana ya kujua taratibu za kabila husika katika masuala ya kuchumbia hadi kuoa yanakwendaje. ya kabila hayana formula.
Itabidi nichelewe kidogo kutangaza uchumba ili niruhusu uchunguzi wa kina na namna gani nitatatua haya mapungufu-
Mzee Dogo bado hujafikia umri wa kuoa. Mimi kaka yako cjafikilia kuoa na ninaamini siku ikifika sitajali criteria km zako coz nizakipremitive sana.
Binafsi nimewatafuna sana mabinti wa Kinyaki ukweli si wachoyo hata kidogo na they are big pretender!
So take my word ila isikufanye ukagaili kuoa huyo mnyaki make waniday naweza kukumegea uwapo safari.