Tabia zao please!

Tabia zao please!

Ndugu zangu naomba niweke wazi mapenzi yangu kwa huyu mnyaki, i truly love her, but all i wanna know ni tabia za jumla za hili kabila coz soon naenda kuwa member wa family yao kama sio kabila lao!
 
what if the remarks are all negative? utaendelea kumpenda? kama utaendelea kumpenda, tehn whas there any need for asking?

Mara nyingi sana kwenye ndoa, abuse kwa wenza wetu ni kuhusu familia zao, makabila yao na muonekano wao

I view this as a dangerous tool of abuse kwenye ndoa
 
Nasikia ni wanafiki sana. Wanapokuwa na waume zao wanaonesha kuwatii sana mpaka kiasi cha kuwapigia magoti wakati wakiwapa maji ya kunywa lakini mume akisafiri au huyo mke akisafiri ugeuka kabisa na kugawa ile kitu kama pipi kwa watoto wa chekechea. Ili tatizo ni kubwa sana hasa kwa wale wenye wake wa Kinyakyusa ambao wanafanya biashara za kusafiri. Kwa kifupi the majority sio wachoyo kabisa - wamepewa bure nao utoa bure!!!

kibaya zaidi mimi ni engineer tena wa maji so safari kwangu ndiyo kazi za kila siku, duh! Inataka ujasiri, lakini nafurahi kujua hili mapema, i will know what to do with it, nyingine?
 
Ndugu zangu naomba niweke wazi mapenzi yangu kwa huyu mnyaki, i truly love her, but all i wanna know ni tabia za jumla za hili kabila coz soon naenda kuwa member wa family yao kama sio kabila lao!
kama unatarajia kuwa member wa familia yao kubaliana na yote yanayowahusu.mi sielewi ni kwa nn uko interested na kabila,bora hata ungesema familia
 
Acid kaka yangu, naomba nieleweke kile namaanisha, ninampenda na nitaendelea kumpenda mnyaki wangu, vitani wanasema kujua mbinu za adui ni nusu ya ushindi, walijua hilo?
 
noted with thanks mkuu

ni wakrimu sana, wana upendo mno na kwa miye niliyepita kule kama msafiri nilifurahishwa sana na upole wao. Zaidi ya hapo mkuu, upeo wangu nehi che'
 
Unataka kujua namna ya kutoa mahali eehh?

Pia ni muhimu kaka, nataka nijue yote yanayohusu kabila hili ikibidi kuanzia uchumba, mahali hadi ndoa na maisha yao ya ndoa huwa wanapendelea yawe ya staili gani...
Thanx kwa kunikumbusha hilo
 
kama unatarajia kuwa member wa familia yao kubaliana na yote yanayowahusu.mi sielewi ni kwa nn uko interested na kabila,bora hata ungesema familia

Nikisema familia sidhani kama tutaweza kuelewana coz itabidi nianze kuspecify vitu vingi kidogo, just kwangu kabila lina-matter zaidi coz linajumuisha watu wengi wakiwamo mashangazi zangu watarajiwa, wajomba, mabinamu, wakwe, shemeji zangu na hata majirani wa wakwe zangu watarajiwa.
Ni lazima nijue ninakubaliana na yapi kabla ya kukubali
 
Kabila has nothing to do with love,hakuna kabila lisilo kuwa na strength na weakness zake.Labda ufanyie uchunguzi family background
 
kibaya zaidi mimi ni engineer tena wa maji so safari kwangu ndiyo kazi za kila siku, duh! Inataka ujasiri, lakini nafurahi kujua hili mapema, i will know what to do with it, nyingine?

Engineers don't think too much about these issues!
They have already been tortured by those Engineering subject
So, their wives were already included in those torturing subjects
don't engage too much on thinking about that matter
U gonna handle the matter inside ur marriage
 
Siku zote ninaamini kuwa wakati wa kuchagua mke/mme ni moja kati ya nyakati ngumu kiasi katika maisha ya mwanadamu, najua nikikosea now naweza jikuta wakati mwingine hata nagombana na ndugu zangu kwa sababu ya hii jinsia, mara nyingi sina muda wa kuwa nyumbani so ni lazima nipate mtu makini wa kumwachia baadhi ya majukumu muhimu kwangu!
 
Wanajamvi ninahitaji wanaojua hili mnijuze atleast nijue hata kama ni pori niingie nikijua ni upande gani kuna simba na upande gani sana swala!
Nina mpenzi wangu ambaye yeye kwao ni kyela yaani mnyakyusa kwa kabila, tatizo ni kwamba sina ufahamu wa kuridhisha juu kabila hili, kwa anayefahamu tabia za hawa watu kiundani iwe positive ama negative kwangu zote muhimu naomba achangie.

we mwehu, mchunguze demu wako ndo utapata tabia za hao watu, si nayeye ni mmoja wao?? sasa unataka kuwachunguza wengine afu ndo upate tabia ya demu wako?? acha wehu wewe...by the way huwezi kugeneralize tabia ya watu wote eti kwamba ndo nayeye atakuwa ivo..dunia hii ina wehu wa kutosha....i wish nimjue demu wako nimwambie akuache..limwanaume gani wewe....
 
Hili ni kabila la watu kutoka Mbeya kusini mwa Tanzania. na sio wakyusa ni wanyakyusa
 
we mwehu, mchunguze demu wako ndo utapata tabia za hao watu, si nayeye ni mmoja wao?? sasa unataka kuwachunguza wengine afu ndo upate tabia ya demu wako?? acha wehu wewe...by the way huwezi kugeneralize tabia ya watu wote eti kwamba ndo nayeye atakuwa ivo..dunia hii ina wehu wa kutosha....i wish nimjue demu wako nimwambie akuache..limwanaume gani wewe....

jina lilitosha kuhisi aina ya ushauri ambao ulikuwa unaelekea kuutoa, by the way nimeupokea, na nitaufanyia kazi!
 
we mwehu, mchunguze demu wako ndo utapata tabia za hao watu, si nayeye ni mmoja wao?? sasa unataka kuwachunguza wengine afu ndo upate tabia ya demu wako?? acha wehu wewe...by the way huwezi kugeneralize tabia ya watu wote eti kwamba ndo nayeye atakuwa ivo..dunia hii ina wehu wa kutosha....i wish nimjue demu wako nimwambie akuache..limwanaume gani wewe....

Uwiiii.....................nakufaaaaaa, mbavu hizooo zimevunjika.
 
Wanajamvi ninahitaji wanaojua hili mnijuze atleast nijue hata kama ni pori niingie nikijua ni upande gani kuna simba na upande gani sana swala!
Nina mpenzi wangu ambaye yeye kwao ni kyela yaani mnyakyusa kwa kabila, tatizo ni kwamba sina ufahamu wa kuridhisha juu kabila hili, kwa anayefahamu tabia za hawa watu kiundani iwe positive ama negative kwangu zote muhimu naomba achangie.

tabia zao ni mbaya sana, haya muache achukuliwe na mwana ume wa ukweli wakati wewe bado una chakachua tabia, chapa mwendo.
 
kibaya zaidi mimi ni engineer tena wa maji so safari kwangu ndiyo kazi za kila siku, duh! Inataka ujasiri, lakini nafurahi kujua hili mapema, i will know what to do with it, nyingine?

Ee e e huo uinjinia wamaji umehusikaje hapo, hata mainjinia wengine husafiri sana, ije wa maji wewe hujiamini, na yeye akikuchunguza vizuri kabila lako na familia ulotoka sindio atakucha siku hiyo hiyo ukimpenda mtu usichokonoe sana wapo walio serious watapaa nae ooh.
 
akina tuntufye hao ni balaa kwa wagumu sana kuchange tabia zao na wanavyofikiria wao
 
Kitu hiyo haina Kabila. Ni makuzi, Gene za mhusika na Maumbile yake basi. Fuatilia tabia za huyo binti ukiridhika naye ndipo uulizie suala la Mila kwa maana ya kujua taratibu za kabila husika katika masuala ya kuchumbia hadi kuoa yanakwendaje. ya kabila hayana formula.
 
Back
Top Bottom