Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
what if the remarks are all negative? utaendelea kumpenda? kama utaendelea kumpenda, tehn whas there any need for asking?Ndugu zangu naomba niweke wazi mapenzi yangu kwa huyu mnyaki, i truly love her, but all i wanna know ni tabia za jumla za hili kabila coz soon naenda kuwa member wa family yao kama sio kabila lao!
Nasikia ni wanafiki sana. Wanapokuwa na waume zao wanaonesha kuwatii sana mpaka kiasi cha kuwapigia magoti wakati wakiwapa maji ya kunywa lakini mume akisafiri au huyo mke akisafiri ugeuka kabisa na kugawa ile kitu kama pipi kwa watoto wa chekechea. Ili tatizo ni kubwa sana hasa kwa wale wenye wake wa Kinyakyusa ambao wanafanya biashara za kusafiri. Kwa kifupi the majority sio wachoyo kabisa - wamepewa bure nao utoa bure!!!
kama unatarajia kuwa member wa familia yao kubaliana na yote yanayowahusu.mi sielewi ni kwa nn uko interested na kabila,bora hata ungesema familiaNdugu zangu naomba niweke wazi mapenzi yangu kwa huyu mnyaki, i truly love her, but all i wanna know ni tabia za jumla za hili kabila coz soon naenda kuwa member wa family yao kama sio kabila lao!
noted with thanks mkuuAcid kaka yangu, naomba nieleweke kile namaanisha, ninampenda na nitaendelea kumpenda mnyaki wangu, vitani wanasema kujua mbinu za adui ni nusu ya ushindi, walijua hilo?
Unataka kujua namna ya kutoa mahali eehh?
kama unatarajia kuwa member wa familia yao kubaliana na yote yanayowahusu.mi sielewi ni kwa nn uko interested na kabila,bora hata ungesema familia
Wiselady hujambo mama?Kabila has nothing to do with love,hakuna kabila lisilo kuwa na strength na weakness zake.Labda ufanyie uchunguzi family background
kibaya zaidi mimi ni engineer tena wa maji so safari kwangu ndiyo kazi za kila siku, duh! Inataka ujasiri, lakini nafurahi kujua hili mapema, i will know what to do with it, nyingine?
Wanajamvi ninahitaji wanaojua hili mnijuze atleast nijue hata kama ni pori niingie nikijua ni upande gani kuna simba na upande gani sana swala!
Nina mpenzi wangu ambaye yeye kwao ni kyela yaani mnyakyusa kwa kabila, tatizo ni kwamba sina ufahamu wa kuridhisha juu kabila hili, kwa anayefahamu tabia za hawa watu kiundani iwe positive ama negative kwangu zote muhimu naomba achangie.
we mwehu, mchunguze demu wako ndo utapata tabia za hao watu, si nayeye ni mmoja wao?? sasa unataka kuwachunguza wengine afu ndo upate tabia ya demu wako?? acha wehu wewe...by the way huwezi kugeneralize tabia ya watu wote eti kwamba ndo nayeye atakuwa ivo..dunia hii ina wehu wa kutosha....i wish nimjue demu wako nimwambie akuache..limwanaume gani wewe....