Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano

Yeah..Kwa baadhi ya watu kujua hivyo vitu inasaidia kuboresha mahusiano..Ila ukikutana na wasanii ni shida..
 
Sasa hapo kwenye inborn na zile acquired character kutokana na makuzi n malezi MTU alipokulia huwa tatizo. Mara nyingi hizi Tabia ni vigumu kuacha au haziachiki kabisa.
They are just too natural na kile tunachodhani ni kuacha sio bali ni kujaribu tu kuzi suppress
 
Mmh ila kuna tabia nyingine hazielezeki kabisa mfano
Umbea
Udokozi
Uchimvi
Rohombaya nknk
Hizi hujifunua taratibu mno na kuna wakati kupitia kwa wengine. ..mfano unakuta wasichana wa kazi hawakai au ugomvi na majirani hauishi
Mkuu Mshana jr mimi mwanamke mwenye tabia ya umbea na mfitinifu simuwezi kabisa.
 
Hatari sana mimi wa hivyo nilikuwa nae mkuu yani akikaa sehemu kila mtu anamjua yeye mpaka nikaanza kuogopa ikabidi nikae pembeni tu
Kuna baadhi hawana staha kabisa (na hii ni kwa jinsia zote) waropokaji na waliokosa uvumilivu kwenye lolote...kitu kidogo sana kinaweza kuleta vurumai moja kubwa sana bila kujali mpo wapi na nani
 
Kuna baadhi hawana staha kabisa (na hii ni kwa jinsia zote) waropokaji na waliokosa uvumilivu kwenye lolote...kitu kidogo sana kinaweza kuleta vurumai moja kubwa sana bila kujali mpo wapi na nani





Hakuna kitu sikipendi kama mtu kufatilia flani yani anaishi vipi mpaka alipofika na maisha yake.pamoja na mwanamke kuhamini kwenye shiriki kwenye maisha hii atanisamehe yani nitakuwa sina budi kwenye kumpuuza tu na ndio utakuwa mwisho wetu
 
Tatizo umbea kwa wanawake uko ktk DNA zao!! Hapa kwa hawa wenzetu tukubali tu kuwa hii ni sifa yao ya kibayolojia. Wanawake wote ni wambea!
Ila unajua quantity matters, Inategemea umbea wake ni kilo ngapi manake kuna watu ni wambea tani moja utafikiri kwenye uumbaji walisahaulika kuwekewa koromeo
 
Reactions: SDG
Ndo hivyo kuvumiliana hakuna mkamilifu.na asikudanganye mtu hulka huwa ni tabia haiwez kupotea.hvyo ni kuishi nae tu ila asiwe na hulka mby km umalaya bora zingine tu
 
Mmh kaka mtumishi leo umeamkia upande gani au ndo baraka za jumapili? Lol. Umeongea nukta in Kaboom ' s voice

Sisi tunachunguzana ndani ya mahusiano, badala ya kuchunguzana before mahusiano. (Ingawa as unavyoishi na mtu ndo unavyozidi kumfahamu vizuri.) As a result unaweza kuta mwenzako ana kitu ambacho unaona kabisa daah hapa haya mapendo yatakatia njiani. Lakini sasa kuuacha huo uhusiano Eeeh ni ngumu mnoo ukishakuwa ndani. Wengi kuna red flags tunakuwa tumeshaziona but ndo tupo ndani ya mapendo tayari, so tunajikuta tunaziignore. Tena na hivi sex ndo kiunganishi kikubwa cha mahusiano yetu, Hata kana kuna matatizo, yani siku mkionana unajua kinachofata ITV, yale matatizo yanazikwa ghafla no kuongelewa, tunaconcentrate na kuridhishana basi. Kila mtu akirudi kwake ndo unakumbuka daah lakini ana tabia fulani siipendi teh, mkikutana tena ni kuridhishana, red flags tupa kule.

Usipoangalia Unaingia kwenye ndoa afu baada ya muda unaanza kulalamikia juu ya vitu ambavyo tangu mwanzo uliviona ukaviignore. Shukuru Mungu itokee mmeachana kabla ya kufikia ndoa, ndo unaanza kusema " hivi ilikuwaje nikastay kwenye ule uhusiano"? hivi tungeoana ingekuwaje?, actually sikuwa hata naona hiyo future" teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…