View attachment 354187 nimekutana na hii kitu, naomba utalaam zaidi kama unajua juu ya hili kujamiiana kunaleta na mengineyo kiroho #mshana jr
Najibu kidogo bro mshana atakupa meng.
Kwa uelewa wangu kutoka ktk Biblia Takatifu inasema anaye ungana na kahaba amekuwa mwil mmoja; yaan ukishirik tendo na kahaba na ww ni mwil mmoja naye.
Ina maana kama ana uchafu wote na ww unaupata; sababu ni mwl mmoja ; mpka upate au ujue njins ya kujiombea kutoka ktk huo mwil wake;
2 Muda wote sis wanawake tunapokea na wanaume wanatoa; mfano ukiwa unajaza kitu ktk ndoo ina maana anaye mimina anatoa vyote alivyo navyo ana mpa yule anayekinga. Iwe ni uchafu au usaf wote anapokea hata kuchuja huwez sababu unamiminiwa.
So msichana leo ukienda na huyu na huyu tuseme 10 wote wamekujaza ww so unakua na uchafu wa aina nying; kama ni mapepo yote yanakuingia ww ya hao watu 10.
Ndio maana msichana asipo sex na mwanaume hata akimuacha haito muuma sababu hajawa mwl naye mmoja.
Ila akifungua miguu anakua kajiunganisha nafsi ya yule mtu ( kiroho) sasa ili kumtoa yahitajika ujue kuombq ipasavyo lasivyo utajikuta umebeba kila aina ya mwanaume ndan yako.
Kwann hivyo vitu vinatupata wanawake na si wanaume?
Ni hivi wanawake tumebeba kizaz( uzazi) katika sisi ndio tunapata watoto; na shetan lazima atufuatilie ili aharibu watoto ambao tunao ktk matumbo yetu
Shetan hawez kuumba lazima atumie mwil wa binadamu ili apenyeze nafsi ( roho) yake; wababa wanaweza wasiwe wanasumbuliwa na hiv vitu sababu wakisha deposit hivyo vitu tu kwetu wao wanabak wepes yaan wametoa yale madude na yamehamia kwa wanawake; ndio maana mtu anaweza zaa mtoto ambaye ni pepo toka tumbon;
Ni kwasababu alipokea kutoka kwa mwanaume na mtoto akaumbwa na akapata ile roho
Kingine ni Period( mp) kila mwez. damu huwa wanafuata damu ktk miil ya wanawake so nilazima ujifunze kujiombea msichana hata sehemu unapo hifadh hivyo vitu ukimaliza unatupa wapi.
Ndio maana utakuta kuna kes nying za kuumwa matumbo lakin watu hawajui zinatoka wap. Sababu zipo nying. Nia ni kuharibu kizazi( watoto utakao wazaa au usizae kabisa)
Kwa sasa naishia hapa