Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano

hahaha ahhahaha hahahaa hongera, wengine hujui hata hawajitambui kama wanamadhaifu tena wako wanajiona wapo perfect, busy pistol kidole kuona madhaifu ya wenzao.
Wapo wengi tu wa namna hiyo ni usiombe uingie anga zake na mbaya zaidi ni watu wa kukosoa kila kitu
 
duuuu mungu aepushie mbali unaweza uczindukie hosp yaani mochwari moja kwa moja
 
Hii imeniogopesha aisee; Mungu alinde vizaz vyetu na waume wetu na watoto wetu popote waendapo na walipo.

Sitak hata kuwaza huyo dada alivyo nahis ningekufa kwa muda uhiii.

Dunia na maajabu yake
 
duuuu mungu aepushie mbali unaweza uczindukie hosp yaani mochwari moja kwa moja

Hii imeniogopesha aisee; Mungu alinde vizaz vyetu na waume wetu na watoto wetu popote waendapo na walipo.

Sitak hata kuwaza huyo dada alivyo nahis ningekufa kwa muda uhiii.

Dunia na maajabu yake
Na huyo mlengwa wala hajali na mtu maarufu kweli huko FB
 
nimekutana na hii kitu, naomba utalaam zaidi kama unajua juu ya hili kujamiiana kunaleta na mengineyo kiroho #mshana jr
 
Na huyo mlengwa wala hajali na mtu maarufu kweli huko FB
Sitak kuwaza kama ni yeye ninaye muwazia hapa; mc kwenye harus nying na kufundisha had mikoan anaenda; ni msomi mzuri sana

If ni yeye nahis kulia; naomba asiwe yeye

Bt hz tabia zina vyanzo vyake
Ndugu( kuruhusu watoto kulala na ndugu)

Mapepo tu yanamvaa mtu

Au yaweza kuwa kwao kuna tabia hiyo .

Marafiki ( boarding school hata day pia)

Laana; mtu anaweza kuacha laana ktk familia yao akawanenea hayo maneno so shetan anapata uhalal wa kutumia huo mlango.


Ooh God we need u
 
View attachment 354187 nimekutana na hii kitu, naomba utalaam zaidi kama unajua juu ya hili kujamiiana kunaleta na mengineyo kiroho #mshana jr
Tunarudi pale kwenye somo letu la nini kilitokea Eden
Ngono ni ibada hasi na ngono ni ibada chanya
Ukimtanguliza Mungu kila kitu kitakuwa ok ila ukiongozwa na tamaa zako za kimwili ambazo ni ushetani mtupu...! Umekwisha
 
Takutumia picha yake[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
View attachment 354187 nimekutana na hii kitu, naomba utalaam zaidi kama unajua juu ya hili kujamiiana kunaleta na mengineyo kiroho #mshana jr
Najibu kidogo bro mshana atakupa meng.

Kwa uelewa wangu kutoka ktk Biblia Takatifu inasema anaye ungana na kahaba amekuwa mwil mmoja; yaan ukishirik tendo na kahaba na ww ni mwil mmoja naye.

Ina maana kama ana uchafu wote na ww unaupata; sababu ni mwl mmoja ; mpka upate au ujue njins ya kujiombea kutoka ktk huo mwil wake;

2 Muda wote sis wanawake tunapokea na wanaume wanatoa; mfano ukiwa unajaza kitu ktk ndoo ina maana anaye mimina anatoa vyote alivyo navyo ana mpa yule anayekinga. Iwe ni uchafu au usaf wote anapokea hata kuchuja huwez sababu unamiminiwa.

So msichana leo ukienda na huyu na huyu tuseme 10 wote wamekujaza ww so unakua na uchafu wa aina nying; kama ni mapepo yote yanakuingia ww ya hao watu 10.

Ndio maana msichana asipo sex na mwanaume hata akimuacha haito muuma sababu hajawa mwl naye mmoja.

Ila akifungua miguu anakua kajiunganisha nafsi ya yule mtu ( kiroho) sasa ili kumtoa yahitajika ujue kuombq ipasavyo lasivyo utajikuta umebeba kila aina ya mwanaume ndan yako.

Kwann hivyo vitu vinatupata wanawake na si wanaume?

Ni hivi wanawake tumebeba kizaz( uzazi) katika sisi ndio tunapata watoto; na shetan lazima atufuatilie ili aharibu watoto ambao tunao ktk matumbo yetu

Shetan hawez kuumba lazima atumie mwil wa binadamu ili apenyeze nafsi ( roho) yake; wababa wanaweza wasiwe wanasumbuliwa na hiv vitu sababu wakisha deposit hivyo vitu tu kwetu wao wanabak wepes yaan wametoa yale madude na yamehamia kwa wanawake; ndio maana mtu anaweza zaa mtoto ambaye ni pepo toka tumbon;
Ni kwasababu alipokea kutoka kwa mwanaume na mtoto akaumbwa na akapata ile roho

Kingine ni Period( mp) kila mwez. damu huwa wanafuata damu ktk miil ya wanawake so nilazima ujifunze kujiombea msichana hata sehemu unapo hifadh hivyo vitu ukimaliza unatupa wapi.

Ndio maana utakuta kuna kes nying za kuumwa matumbo lakin watu hawajui zinatoka wap. Sababu zipo nying. Nia ni kuharibu kizazi( watoto utakao wazaa au usizae kabisa)

Kwa sasa naishia hapa
 
Asante sana DIVINE umelijibu vizuri sana na kwa kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…