Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano

Mmmmmmhmn
 
True kabisa
 
Mkuuu...Kuna Mambo yangu. Siwezi kabisa kusema hata Mama aliniambia nisije Seema kabisa iwe Siri yangu.
Ila ukiwa mkweli inamrahisishia mtu kuishi na wewe. Tabia za kuficha ficha sio nzuri utakuja kupotezewa muda siku moja hutakaa uamini. Be frank and open ukitarajia lolote lile liwe zuri au baya. Najua mama yako anakujua vizuri tabia zako nje ndani pengine u mvivu sana au mbinafsi na mchoyo labda ila ni nzuri kwa mie kidume kujua instead ya kujifanyisha mtakatifu na mwisho ukishindwa kuendelea kuficha tunaanza kugombana.
 
Mkuuu...Kuna Mambo yangu. Siwezi kabisa kusema hata Mama aliniambia nisije Seema kabisa iwe Siri yangu.
Mie naamini watu wangekuwa wanaishi katika uhalisia ndoa zenye migogoro baada ya 2 years walau 50% zingekuwa hazijafungwa. Njia pekee ya kumjua mtu ni kutengeneza mazingira ya ku cohabit...

Hilo huwa nashauri wengi ingawa watu wananionaga muhuni! Making a major decision in life kuishi na mtu fake ni hatari sana sawasawa na time bomb.
 
Pouwa Mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…