Tabia zilizojificha: Chanzo cha migogoro kwenye mahusiano

Ukitaka kujua tabia za mtu unaeanzisha nae mahusiano moja ya kitu unachotakiwa kuepuka ni kumwambia akwambie vitu anavyopendelea na asivyopendelea..Hapa mara nyingi drama ndipo zinapoanza.. Vile vitu utakavyosema huvipendi ntajaribu kuvificha hata kama ninavyo ili mradi nikupate..Hayo maigizo kumaintain ni kazi..Itafika kipindi mtu anashindwa kuficha tabia yake..Kipindi zinafumuka unajikuta tayari upo ndani ya ndoa na huyo muigizaji na hakuna mlango wa kutokea.

Mara nyingi ni vizuri kumsoma mtu ujue ni mtu wa aina gani bila yeye kukwambia kisha ujipime kama unaweza kuwa nae au vipi
Watu wana mikakati mibovu sana ya kuanzisha mahusiano.
 
Hili nakubali 100%. Kuna mama nilikuwa naipenda mno kabla sijaishi nae tukapendana sana pia na kuniita pet names mara we HB n.k!
Akapendekeza tuishi wote baadae nikaridhia ni shake well before use. Kuishi nae mwanzo ilikuwa raha mno. Sio mawivu hayo alikuwa nayo akikuta na chat na rafiki yeyote wa kike...Atalalamika mno na ilinipa shida but nilimtuliza nafsi mapenzi yakasonga.

Mawasiliano yalikuwa ni full time kupigiwa kuwa im missed nami nilifanya hivyo pia. Huduma zote napewa bila excuse, mama anafua,anapika tunakula,mtoto usafi wa mwili na mazingira ndio usiseme, game ilikuwa nikitekenya ziwa tu mtoto katepeta.
Mama alikuwa na adabu na msikivu ajabu haskii haambiwi mpaka nikawaza mke wa kuoa si ndio huyu jamani. Alikuwa ananijali hamna mfano kwa hali na very supportive. Haiba ya upole na aibu haikuwa kificho na hakika alijua kukirimu wageni wangu mno. Nikashukuru sana mungu. Kifupi niliinjoy mapenzi awamu ya kwanza.l9

Tulikuwa separate kwa miezi km 6 hivi. Kurudi mambo yakawa tofauti. Mawasiliano yalianza kupungua taratibu. Nikaanza ona rangi zake sasa, licha ya mazuri yote mwanzo mama akaja kuwa mbinafsi ajabu. Anataka umfanyie cares ila ye kwake ni kama ananifanyia favor kunijali.
Yeye ndio akawa anajipa priority zaidi kwa kila jambo. Gubu ndio kila saa yani ikawa kero sasa, kila nifanyalo lazma akandie akawa kama mpinzani wangu na si mpenzi tena.
Sex hakuna tena excuse za ubize na ukipewa ni kama unagonga jiwe. Anaanzisha ugomvi wa kijinga tu usio na maana kila dakika mtoto kiburi kimemjaa na nkimwambia ukweli anadai nalalamika sana...

Mwishowe nkaona isiwe tabu, kama mapenzi ni furaha kwanini nivumilie nikajiengua zangu. Pata picha halisi umeoa mwanamke wa hivyo kwa kurupuka itakuaje??? Kuishi na mwanamke ni muhimu mno kabla hujaoa???
Japo ni kitambo kidogo lakini maneno haya yaitaishi milele.
 
Kwa mara nyingine tena,mkuu mshana hongera[emoji122] andiko kama hili litaeleweka kwa wale wanaofahamu vizuri namna bora ya kufikicha akili zao katika kuelewa UKWELI WA MAISHA ulivyo..

[emoji3577][emoji1548][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1679]
 
Aisee [emoji848]
Tambua kwamba kuna tabia za kuchukiza na pengine zisizovumilika.. jiandae kuzikabili na kuzikubali.. .. hakuna mkamilifu kila mwanadamu ana roho ya kishetani ikiwemo WEWE[emoji12] [emoji15] [emoji23]

Asikudanganye mtu kuwa hizo tabia zinarekebishika, huko ni kujidanganya na kujitafutia maumivu zaidi.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nakubali 100%. Kuna mama nilikuwa naipenda mno kabla sijaishi nae tukapendana sana pia na kuniita pet names mara we HB n.k!
Akapendekeza tuishi wote baadae nikaridhia ni shake well before use. Kuishi nae mwanzo ilikuwa raha mno. Sio mawivu hayo alikuwa nayo akikuta na chat na rafiki yeyote wa kike...Atalalamika mno na ilinipa shida but nilimtuliza nafsi mapenzi yakasonga.

Mawasiliano yalikuwa ni full time kupigiwa kuwa im missed nami nilifanya hivyo pia. Huduma zote napewa bila excuse, mama anafua,anapika tunakula,mtoto usafi wa mwili na mazingira ndio usiseme, game ilikuwa nikitekenya ziwa tu mtoto katepeta.
Mama alikuwa na adabu na msikivu ajabu haskii haambiwi mpaka nikawaza mke wa kuoa si ndio huyu jamani. Alikuwa ananijali hamna mfano kwa hali na very supportive. Haiba ya upole na aibu haikuwa kificho na hakika alijua kukirimu wageni wangu mno. Nikashukuru sana mungu. Kifupi niliinjoy mapenzi awamu ya kwanza.l9

Tulikuwa separate kwa miezi km 6 hivi. Kurudi mambo yakawa tofauti. Mawasiliano yalianza kupungua taratibu. Nikaanza ona rangi zake sasa, licha ya mazuri yote mwanzo mama akaja kuwa mbinafsi ajabu. Anataka umfanyie cares ila ye kwake ni kama ananifanyia favor kunijali.
Yeye ndio akawa anajipa priority zaidi kwa kila jambo. Gubu ndio kila saa yani ikawa kero sasa, kila nifanyalo lazma akandie akawa kama mpinzani wangu na si mpenzi tena.
Sex hakuna tena excuse za ubize na ukipewa ni kama unagonga jiwe. Anaanzisha ugomvi wa kijinga tu usio na maana kila dakika mtoto kiburi kimemjaa na nkimwambia ukweli anadai nalalamika sana...

Mwishowe nkaona isiwe tabu, kama mapenzi ni furaha kwanini nivumilie nikajiengua zangu. Pata picha halisi umeoa mwanamke wa hivyo kwa kurupuka itakuaje??? Kuishi na mwanamke ni muhimu mno kabla hujaoa???
Hii imenitokea..mapenzi ni magumu
 
Ungetaka ajirekebishe ungemwambia mwenyewe sio kwenda kuwaambia watu wengine!
Kwanini lakini watu wakiambiwa mambo yao kwa ukweli , basi wanaona wale wanaosema ni wambea? Maana nilidhani labda wangechukua hiyo changamoto kujirekebisha tabia zao mbaya kwenye jamii kusudi sifa zao njema zienee kwenye jamii , na sio sifa za kijinga alafu wanawaona watu wambea,
 
Back
Top Bottom