Tabiri nani atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM




Kikosi cha wezi. Ni kama Mafia wanajificha na kuleta watu wa kusaidia kuiba kura na kutajirisha familia zao. Hii nchi tunakazi sana kupata uhuru wa kweli kwa ndugu zetu. Makamu mwenyewe hakuna cha kugombea!!
 
Lazima atakua wa kutoka usukumani, kila la kheri Paulo,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…