4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Hapa ccm anaenda kufa kifo kitakatifuu, Makonda anajitahidi ila analazimisha upepo tu , watu kama mh Mtaka ametulia ,japo najua atagombea ubunge, na. Akifanikiwa ndo kipaji chake kitaanza onekanaLazima atakua wa kutoka usukumani, kila la kheri Paulo,,
Ccm hupendagi wanachama wanao jitambua kamwe ,that's kinakufa vibaya , wale wazee machachari ndo huitwa fusi hakuna , acha kife Mungu yupo kazini