Tabiri nani atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Tabiri nani atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

Zanzibar yupo Rais
Magharibi yupo VP
Kusini yupo PM
Ziwa yupo DPM

Hivyo kwa hesabu za kikanda inabidi atoke nyanda za juu kusini MIZENGO PINDA
 
Zanzibar yupo Rais
Magharibi yupo VP
Kusini yupo PM
Ziwa yupo DPM

Hivyo kwa hesabu za kikanda inabidi atoke nyanda za juu kusini MIZENGO PINDA
Katavi iko nyanda za juu kusini?
Una kiwango gani cha elimu?
 
Muda mfupi tutajua ulaji na u mr yes yes unaenda kwa nani.....KM angekuwa Shigela.....MAkamu Nchimbi......kura zetu kule ziwanii
 
Kwa maoni yangu ni kwamba makamu mwenyekiti wa CCM bara yafaa awe mwanamke ili kuendana na mwenyekiti wa sasa.

Makamu mwenyekiti mara nyingi huwa afuata kivuli cha mwenyekiti kwa uwezo na tabia.

Jukumu kubwa na la msingi la makamu mwenyekiti ni kumsaidia mwenyekiti kwa namna yoyote ile khasa kwenye vikao VIGUMU vya chama kama cha CC.

Kwa msingi huo ni vema kwa makamu mwenyekiti akawa mwanamke kutoka Tanganyika Bara.

Suali ni je, ni mwanamke yupi mwenye uwezo wa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Tanganyika Bara?
 
Back
Top Bottom