Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Ndo hivyo Mkuu.Heeee,,😳😳
MakondaWeekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana.
Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Huyu yupo kimyaBashiru Ally !!!
Unaelewa hata muundo wa uongozi wa ccm kweli?Safari Makamu wa Mwenyekiti ningependa atokee visiwani.
Katavi iko nyanda za juu kusini?Zanzibar yupo Rais
Magharibi yupo VP
Kusini yupo PM
Ziwa yupo DPM
Hivyo kwa hesabu za kikanda inabidi atoke nyanda za juu kusini MIZENGO PINDA
Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana.
Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana
Sidhani kama mzee Pinda afaa kuwa makamu kwasababu ya historia yake ambayo ni kiutendaji zaidi kiserikali kuliko kisiasa.Pinda.
Hakuna demokrasia CCM kwanini wanateua badala ya kuchagua? Chama gani hiki?Weekend hii kutakuwa na mkutano mkuu wa ccm, lengo ni kumteua makamu mwenyekiti mpya atakayechukua nafasi ya Comrade Kinana.
Je unahisi nani atateuliwa kwenye nafasi hiyo? Tupe utabiri wako
Soma Pia: CCM kufanya mkutano mkuu Januari 18 na 19 Dodoma, kumpata mrithi wa Kinana