mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Kwa mtazamo wangu
1: Hakutakuwa na WW3
2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha.
Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi bila kutumia Nyuklia zake.
3: USA atakuwa na nguvu kubwa kuliko MTU au taifa lolote kuliko hapo mwanzo. Chochote atakachosema hakuna wa kupinga.
4: USA watakuwa na nchi fuasi nyingi ambazo zikishirikiana kukuwekea vikwazo mbishi siku mbili ni nyingi unasalimu amri bila kurusha hata risasi moja.
Hii ndio trend yangu na utabiri wangu wa matokeo ya vita hii na madhara yake katika dunia.
Ili iwe tofauti, Russia atangaze VITA kamili. Aanze kushambulia moja kwa moja bila kuzungukazunguka na kudonoadonoa. Aweke pamba sikioni aingie kyiv aangushe serikali. Na hiki akifanye ndani ya mwezi mmoja tu. Akiendelea hivi hayo hapo juu yatatokea.
Wewe unatabiri nini?