Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya kesho

Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya kesho

(kama tanzania daima lingekuwepo)

ccm sasa vipande vipande, Suluhu na Ndugai giza nene

(Mwananchi)

Mihimili ya hitilafiana ,uchaguzi 2025 watajwa kama sababu, Samia akumbushia ya serikali ya mpito.

(uhuru)

Raisi Samia asikitishwa na upotoshaji na unafiki wa Ndugai,awapa heko wenyeviti kumpa somo

(raia mwema)

Ni wakati wa ndugai kujiuzulu uspika,Rais anashangazwa na kauli yake
Wewe ni Erick shigongo au
 
Back
Top Bottom