Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya michezo kesho

Tabiri vichwa vya habari vya magazeti ya michezo kesho

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho.
Mwanaspoti: Tuwape Yanga maua yao

Endelea na wewe kutiririka
 
Mme alinda heshima ya familia huko Nigeria wakati mke akitunza nyumba.
 
9fa05418-38c8-4c1e-9bfa-5cf0b8613fb2.jpg
 
"YANGA YAIPIGA KIUME RIVERS UGENINI"
 
Back
Top Bottom