Teko Modise JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 2,331 Reaction score 7,733 Apr 23, 2023 #1 Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho. Mwanaspoti: Tuwape Yanga maua yao Endelea na wewe kutiririka
Kufuatia Yanga kushinda ugenini dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria huko kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Africa, hebu tabiri vichwa vya habari kwa magazeti ya michezo kesho. Mwanaspoti: Tuwape Yanga maua yao Endelea na wewe kutiririka
Mangi shangali JF-Expert Member Joined Feb 9, 2023 Posts 533 Reaction score 820 Apr 23, 2023 #2 Anga wana lihitaji kombee
Possibles JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 1,933 Reaction score 2,439 Apr 23, 2023 #3 Mme alinda heshima ya familia huko Nigeria wakati mke akitunza nyumba.
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Apr 23, 2023 #4
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,337 Reaction score 7,593 Apr 23, 2023 #5 "YANGA YAIPIGA KIUME RIVERS UGENINI"