johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Maduka yawe nje ya stendi. Wazo zuri sana. Hata nchi zilizoendelea ziko hivyo, ndani ya stendi kuna mabasi, staff wa mabasi, security na wasafiri tu. Wengine wako nje au kuzunguka stendi.
Good thinking
Wasafiri watakula kwao!
Kweli bwashee!Maduka yawe nje ya stendi. Wazo zuri sana. Hata nchi zilizoendelea ziko hivyo, ndani ya stendi kuna mabasi, staff wa mabasi, security na wasafiri tu. Wengine wako nje au kuzunguka stendi.
Umeuliza swali na kujijibu bwashee!Yale mabasi ya kampuni ya kirumo,yanayomilikiwa na Ainea mrutu yapogo au amekuwa amebakia kuwa msemaji wa Taboa kulamba hela ya chama? Taboa pitieni katiba yenu upya mpate kiongozi mwingine anayemiliki mabasi jamaa kampuni yake ilishakufaga huo
Binadamu wengine wana chuki binafsi na wivu sana. Yaani issue inahusu msongamano stand za magari, badala yakujadili mada wewe unaleta mambo mengine. Ungeianzishia Thread yake ungeeleweka vizuri.Yale mabasi ya kampuni ya kirumo,yanayomilikiwa na Ainea mrutu yapogo au amekuwa amebakia kuwa msemaji wa Taboa kulamba hela ya chama? Taboa pitieni katiba yenu upya mpate kiongozi mwingine anayemiliki mabasi jamaa kampuni yake ilishakufaga huo
Hoja ya msingi ni Taboa na corona.ila la kirumo liko pale pale.Binadamu wengine wana chuki binafsi na wivu sana. Yaani issue inahusu msongamano stand za magari, badala yakujadili mada wewe unaleta mambo mengine. Ungeianzishia Thread yake ungeeleweka vizuri.