Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani likitoka alfajiri linafika usiku wa manane na likitoka na likitoka saa kumi jioni linafika alfajiri, umeshajua kwanini wanazuiwa kusafiri usiku,Mie najiuliza kwani bus la Mwanza Dar lazima liondoke alfajiri na kufika usiku wa manene? kwanini lisianze safari saa kumi jioni likafika kesho yake alfajiri?
Neno wapiga kura wangu linatumika vibaya hapa kwenye hii ishu....
Ahsante TABOA mmejitoa ufahamu kwamba hawapo pale kimakosa ila wamewekwa.... Wazo lenu sio korona tu kazieni watoke humo ni kero kwetu
Meko hatakubaliKatibu mkuu wa chama cha wasafirishaji abiria ( Taboa) ndugu Mrutu ameiomba Tamisemi kuhakikisha vituoni wanabakia wasafiri tu ili kupunguza msongamano nyakati hizi za majanga ya Corona.
Mrutu amesema hata kwenye vituo vya daladala mfano Makumbusho kuna msongamano mkubwa sana wa watu lakini wengi wao siyo wasafiri. Hivyo ni muhimu wakabaki abiria wanaosubiri usafiri.
Source ITV
Yapo nenda same utayakuta kibaoYale mabasi ya kampuni ya kirumo,yanayomilikiwa na Ainea mrutu yapogo au amekuwa amebakia kuwa msemaji wa Taboa kulamba hela ya chama? Taboa pitieni katiba yenu upya mpate kiongozi mwingine anayemiliki mabasi jamaa kampuni yake ilishakufaga huo
Wewe unamiliki mabasi mangapi mkuu?Hoja ya msingi ni Taboa na corona.ila la kirumo liko pale pale.
Kwani hizi pavement sidewalks barabarani zilipojengwa wamachinga walizingatiwa?Mawazo mazuri kama haya CCM hawawezi kuyakubali. Wao wanawaza kura tu mda wote.
Tunatumia mabilioni kujenga alafu tunaacha viharibiwe kwa muda mfupi.
Je? Wakati wa design na ujenzi suala la machinga ndani ya stand lilizingatiwa?
Wakati mwingine akili zetu hazina akili!!
Mkiwaondoa mtapata wapi kura za wajinga ?Katibu mkuu wa chama cha wasafirishaji abiria ( Taboa) ndugu Mrutu ameiomba Tamisemi kuhakikisha vituoni wanabakia wasafiri tu ili kupunguza msongamano nyakati hizi za majanga ya Corona.
Mrutu amesema hata kwenye vituo vya daladala mfano Makumbusho kuna msongamano mkubwa sana wa watu lakini wengi wao siyo wasafiri. Hivyo ni muhimu wakabaki abiria wanaosubiri usafiri.
Source ITV