Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Lisu angesaidiwaje ilihali hakutaka kutoa ushirikiano kwa polisi? Au unadhani polisi wanapiga ramli. Wamarekani na wakanada watamsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bwege kweli; kwani huyo diwani aliecharangwa mapanga ametoa ushirikiano gani?